Hanari wana JF
Nasumbuliwa na maumivu ya shingo, mkono na mgongo. Maumivu hayo yapo kila muda ila kwa kawaida huongezeka zaidi ninapopata vistress au hofu ya kitu chochote.
Nimetembelea hospitali mbalimbali kama Muhimbili, Mawen, St Cammillus, Mac Ren polyclinic
Nimepima damu, moyo, x rays...