Wazee wa Pochi NENE mpo?
Wavulana wengi wana tabia ya kuweka mkoba (WALLET) yenye inchi nusu au zaidi ikitegemeana na wingi wa vitu vilivyopo kwenye mkoba huo kwenye mfuko wao wa nyuma wa nyonga ambao unaweza kuleta maumivu ya mgongo, kiuno, misuli, mifupa na mbali zaidi kuleta madhara kwenye...