mgonjwa mahututi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Mgonjwa mahututi asiombwe hela ya Mafuta ya Ambulance

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekataza tabia ya wagonjwa wanaohitaji huduma ya haraka kuombwa fedha za mafuta ili kuwawahisha hospitalini kwa kutumia magari ya wagonjwa. Akizungumza Septemba 14, 2026, wakati wa ziara mkoani Simiyu, wilayani Itilima, Dkt...
  2. JamiiForums Tanzania Dudu baya amjibu mkewe mkubwa Fela aliyelalamika kuwa mmewe ametengwa na wasanii baada ya kuwa mgonjwa mahututi

    Mapema wiki hii mke wa mkubwa Fela amelalamika kuwa wasanii ambao mkubwa Fela aliwasaidia Sasa hawapokei simu wala kutoa msaada, mkubwa Fela amekosa pesa za matibabu yupo hoi nyumbani kwake hana huduma wala msaada wowote Dudu baya amebainisha kuwa 1. Mkubwa Fela alifanya dhulumu nyingi na...
  3. JamiiForums Tanzania Rais mgonjwa mahututi mpaka mauti, lakini makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa!

    Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye...
  4. JamiiForums Tanzania Mtembea kwa miguu aliyegongwa na basi la mwendokasi atolewa ICU

    Mtembea kwa miguu aliyegongwa na Basi la Abiria la "Mwendokasi" wiki iliyopita ambaye ndiye alikuwa Majeruhi pekee wa ajali hiyo aliyesalia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), ameondolewa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) na kuhamishiwa wodi nyingine ya HDU baada ya afya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…