Package ina
-1 Glucometer (mashine ya kupima sukari)
-25 testing strips
Bei : 35,000/=
Testing Strips (50)
Bei: 20,000/=
Tupo TANZANITE PHARMACY - Tabata Aroma
Mawasiliano
0653776099
0789344956
0767810030
0620249911
Free delivery pia ipo ndani ya Dar es Salaam
Habari wakuu
Narudi kwenu kuwa mrejesho. tuko Hindu Mandali siku ya 5 Sasa Hali ya mgonjwa wangu alikuwa na nafuu lakini Hali imebadilika gafla kazidiwa, alikuwa tupewe ruhusa Leo. Usiku alianza kutetemeka na kusikia baridi na kuchemka akapimwa sukari ikawa 12 presha 150/95 pr 135 akapewa drip...