mgonjwa

  1. JamiiForums Tanzania Mtoto afariki dunia baada ya kugongeshwa kichwa kwenye gogo na mtu anayesadikiwa kuwa ni mgonjwa wa akili

    MTOTO Agnes Kiraba (3), mkazi wa Kijiji cha Mtakuja Kata ya Kirado wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitalini baada ya kugongeshwa kichwa kwenye gogo na mtu anayesadikiwa kuwa ni mgonjwa wa akili. Mtoto huyo alipatwa na mauti katika Hospitali ya Wilaya...
  2. JamiiForums Tanzania Tabora: Serikali yamsaka muuguzi aliyebaka mgonjwa

    Wizara ya Afya inafuatilia sakata la muuguzi anayedaiwa kumbaka msichana mgonjwa na kisha kukimbia kusikojulikana. Akizungumza na watumishi wa hospitali ya wilaya ya Igunga na viongozi wa sekta ya afya mkoa wa Tabora, Naibu katibu mkuu (Tamisemi-Afya), Dk Dorothy Gwajima alisema lengo ni kuona...
  3. JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kama rais aliyopo madarakani atakuwa mgonjwa na hawezi kusimama kwa kipindi cha pili?

    Ali Bongo amepata stroke na alikuwa kwenye matibabu kwa takriban miezi 18. Sasa hivi anajitahidi kuwashawishi raia wake kuwa anaweza kusimama tena katika uchaguzi ujao. Kebehi nyingi sana zilimuendea Tundu Lissu kuwa hawezi kuwa mgombea wa urais kwakua ni 'kilema'. Ikitokea rais aliyeko...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ya mitandaoni

    *1.Tanzania; Una mgonjwa mahututi ndani lakini unamuacha ili uwahi mazishi ya mtu aliekufa ambae hata sio ndugu yako!* *2. Tanzania; Mgeni akija nyumbani anakula vyakula vizuri kuliko familia yako na anatumia vyombo vizuri kuliko familia yako.* *3. Tanzania; Ukiugua Ukaomba michango utibiwe...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Mfanyakazi akiumwa mwenzi mzima mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?

    Habari zenu wakuu. Nilikuwa nauliza kama mfanyakazi wa tanesco akiwa anaumwa mwezi mzima kiasi cha kushindwa kufanya kazi na huku akiwa na ruhusa ya ofisi, je mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…