mgonjwa

  1. Sky Eclat

    Mgonjwa kukosa nauli baada ya kupata rufaa kwenda Muhimbili

    Leo tarehe 15/03/2020 nilimuwakilisha Mh Mbunge wa Mbeya Mjini #JOSEPH #OSMUND #MBILINYI(SUGU) kumjulia hali dada #Rosemery #Mayemba mkazi wa mtaa wa Ilolo kata ya Sinde na kumpatia pesa kwaajili ya nauli na pesa ya kujikimu wakati atakapokua Dares salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili ambako hana...
  2. Superbug

    Dalili za mtu anayekaribia kufa ambaye sie mgonjwa

    1. Kuonea watu aibu 2.Haangalii watu machoni 3.Akitembea huangalia chini 4.Wasiwasi usio na sababu 5.Hofu 6.Mpweke wa nafsi muda wote 7.Mabadiliko ya ghafla ya tabia. (Aweza kuwa mkali au mpole) 8.Hupenda kukamilisha Jambo alifanyalo haachi kiporo Mara nyingi wanahisi Kuna Jambo kubwa...
  3. T

    Tambua: Matokeo yanaweza kuonyesha negative, lakini mtu akawa na HIV na kuambukiza zaidi kuliko mgonjwa wa zamani

    Nimeona mara kadhaa watu wakijiona wapo salama kufanya ngono bila kinga kwa sababu tu wamepima na matokeo kuonyesha negative. Hiyo sio sawa, kwa sababu vipimo vya juu kabisa kwa ujumla vita-detect HIV angalau week 4 baada ya maambukizi. Vipimo vitaonyesha matokeo sahihi kwa watu walio wengi...
  4. Analogia Malenga

    Ujerumani yathibitisha mgonjwa wa kwanza wa Corona. Dawa za UKIMWI kuanza kutumika kwa wagonjwa wa Corona

    Mgonjwa wa kwanza wa maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona amethibitishwa nchini Ujerumani. Msemaji wa wizara ya afya mjini Munich, amesema jana jioni kwamba mgonjwa huyo ni mwanaume anayetokea eneo la Stanberg, katika jimbo la Bavaria, kiasi kilomita 30 kusini magharibi mwa Munich...
  5. Sky Eclat

    Rais Mstaafu wa Kenya Mtuku Daniel Arap Moi (95) ni mgonjwa mahututi

    Rais Mstaafu wa Kenya Daniel Arap Moi (miaka 95) yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) Hospitali ya Nairobi. Amekuwa akilazwa na kuruhusiwa hospitalini hapo mara nne toka Oktoba 2019, ambapo mwanzo alitibiwa kwa tatizo la maji kujaa kwenye mapafu.
  6. Bushmamy

    Wakuu naombeni ushauri kuhusu huyu mgonjwa hapa kwangu

    Wakuu amani iwe kwenu, Naenda kwenye mada moja kwa Moja, Wiki Moja kabla ya Xmass nikiwa Nimetuna sehemu karibu kabisa na home napiga zangu masanga, mara ghafla kaja dada yangu, akaniambia fulani anakuita (jina kapuni) basi bwana dakika sifuri nikafika nilipoitwa basi ikawa hivi: Ooh Samahani...
  7. Nyendo

    Mtoto afariki dunia baada ya kugongeshwa kichwa kwenye gogo na mtu anayesadikiwa kuwa ni mgonjwa wa akili

    MTOTO Agnes Kiraba (3), mkazi wa Kijiji cha Mtakuja Kata ya Kirado wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitalini baada ya kugongeshwa kichwa kwenye gogo na mtu anayesadikiwa kuwa ni mgonjwa wa akili. Mtoto huyo alipatwa na mauti katika Hospitali ya Wilaya...
  8. beth

    Tabora: Serikali yamsaka muuguzi aliyebaka mgonjwa

    Wizara ya Afya inafuatilia sakata la muuguzi anayedaiwa kumbaka msichana mgonjwa na kisha kukimbia kusikojulikana. Akizungumza na watumishi wa hospitali ya wilaya ya Igunga na viongozi wa sekta ya afya mkoa wa Tabora, Naibu katibu mkuu (Tamisemi-Afya), Dk Dorothy Gwajima alisema lengo ni kuona...
  9. Daisy Llilies

    Katiba inasemaje kama rais aliyopo madarakani atakuwa mgonjwa na hawezi kusimama kwa kipindi cha pili?

    Ali Bongo amepata stroke na alikuwa kwenye matibabu kwa takriban miezi 18. Sasa hivi anajitahidi kuwashawishi raia wake kuwa anaweza kusimama tena katika uchaguzi ujao. Kebehi nyingi sana zilimuendea Tundu Lissu kuwa hawezi kuwa mgombea wa urais kwakua ni 'kilema'. Ikitokea rais aliyeko...
  10. Mshana Jr

    Tanzania ya mitandaoni

    *1.Tanzania; Una mgonjwa mahututi ndani lakini unamuacha ili uwahi mazishi ya mtu aliekufa ambae hata sio ndugu yako!* *2. Tanzania; Mgeni akija nyumbani anakula vyakula vizuri kuliko familia yako na anatumia vyombo vizuri kuliko familia yako.* *3. Tanzania; Ukiugua Ukaomba michango utibiwe...
  11. Jmwasele

    Je, Mfanyakazi akiumwa mwenzi mzima mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?

    Habari zenu wakuu. Nilikuwa nauliza kama mfanyakazi wa tanesco akiwa anaumwa mwezi mzima kiasi cha kushindwa kufanya kazi na huku akiwa na ruhusa ya ofisi, je mshahara wake utakuwepo pale pale au inakuaje?
Back
Top Bottom