Kwa mfano ikitokea nimelazwa kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka kudai haki yangu?
Na international law inasemaje?
Naomba waziri wa katiba anajibu, na waziri wa afya anajibu. Hatuwezi kuacha...
Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?
Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango.
Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
Madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wamewafukuza kazi daktari na muuguzi wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tumuma za kumtoa mgonjwa wodini na kumpeleka nyumba ya kulala wageni na kumfanyia ya upasuaji wa tezi dume.
Wakizungumza leo Jumanne 9 katika baraza kikao cha...
Hili gonjwa lipo na siku ukibahatika kumuona mgonjwa wa COVID19,utataka siku hiyohiyo uchanjwe chanjo yake.
Kama hujaona ndugu yangu basi omba usione wewe kubali kuchanjwa tu siku ikifika uachane na siasa.
Moja ya haki ya mgonjwa ni kupewa taarifa za ugonjwa na kuzitafakali kwa makini!
Swali; Kwanini vipimo na maelezo yanayoandikwa kwenye karatasi ya mgonjwa katika zahanati binafsi huwa vinazuiwa kuondoka navyo mgonjwa? Je, ni utaratibu wa kitabibu au ni uhuni?
Wajuvi tujuzeni!
Ofisa lishe mtafiti mwandamizi wa Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNC), Dk Analace Kamala alisema minyoo husababisha madhara mbalimbali ikiwemo hilo la kupata matatizo ya akili.
Akiwasilisha mada katika semina kwa wanachama wa klabu ya waandishi Mkoa wa Dar es Salaam(DCPC) ya kuwajengea uwezo...
Kijana aliekuwa maarufu kupiga watu visu na mapanga na kuleta wezi wa Manzese na Magomeni kuwatesa wananchi wa Kawe na Mbezi ameuwawa usiku huu
Kijana Minyembe kijana mwembamba na mwemye mbio kuliko mwanariadha Bolt ameuawa usiku huu baada ya kumuibia dada mmoja njia ya mchangani chadema
Kama...
Virusi vya Corona vilikuwa vikizunguka nchini Italia mapema mwezi Septemba 2019, kulingana na utafiti uliofanywa na kituo cha kitaifa dhidi ya Saratani (INT) huko Milan, kikibaini kwamba virusi vya SARS-CoV-2 viliweza kuenea nje ya China mapema kuliko watu wanavyofikiria.
Shirika la Afya...
Mdogo wangu ni retired Dr. Juzi alikuwa anaangalia kumbukumbu ya kifo kwenye tv. Moja ya tangazo aliloliona ni tangazo la mgonjwa aliyefariki miaka 12 baada ya kumfanyia upasuaji, alishtuka na kuumia sana.
Mdogo wangu aliumia si kwa sababu nyingine bali anaeleza kuwa wao madaktari ni walinzi wa...
Kichwa chajieleza, nimeshuhudia kwa macho yangu mgonjwa akijirusha ghorofa ya juu sana, pale kairuki hospital, na kufika chini mifupa ikiwa inaonekana.
Nilishangaa kuona manesi wanaulizana kumbeba yule mgonjwa kumuweka katika gari ya wagonjwa.
Kama dakika tano hivi yule mgonjwa alipoteza...
Mzungu akiwa na Mgonjwa wake Hospitalini atahangaika hata kwa 'Gharama' zake zote tu ili 'ayaokoe' Maisha yake 'asife' lakini kwa Mwafrika ( Mswahili ) Yeye akiwa na Mgonjwa Hospitalini wala 'hajali' kivile na pengine hata kutoa 'Huduma' au 'Msaada' anakuwa mgumu ila pale Mgonjwa 'akifa' tu...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, inamshikilia Daktari na mtaalamu wa dawa za usingizi kwa tuhuma za kudaiwa kupokea rushwa ya shilingi 180,000 kutoka kwa mzee wa miaka 60 aliyekuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa tezi dume .
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani...
Je ni Kweli madaktari wanapojua mgonjwa atakufa humficha na kuwaambia ndugu zake tu?
Pana tetesi huzisikia kwamba madaktari wanapotambua mgonjwa atafariki, au ana tatizo kubwa sana kuliko mgonjwa mwenyewe anavyoelewa, basi huwaita ndugu wa karibu wa mgonjwa huyo na kuwaambia "prognosis" mbaya...
Mkuu wa zamani wa Kanisa Katoliki, Papa Benedict XVI, anaripotiwa kuumwa sana baada ya kumtembelea kaka yake aliyekuwa mgonjwa nchini Ujerumani mwezi Juni na sasa hali yake ni dhaifu sana.
Gazeti la Passauer Neue Presse la nchini Ujerumani limeripoti kwamba Papa Benedict mwenye umri wa miaka...
Mabeberu kazi wanayo. Kila tukipiga chenga wao wanafuata nyayo.
Inafikirisha kuwa hata huko Isingiro Uganda mgonjwa wao kwanza aliyepatikana jana, eti naye kapita 'kinyoka nyoka' mpakani akitokea Tanzania kinyume cha utaratibu:
----
The East African region Monday recorded a spike in...
Osma Shariff, mtu wa kwanza kuthibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) nchini Kenya katika Kaunti ya Isiolo, amepanga kuiburuza Mahakamani Serikali ya Kaunti hiyo akiidai fidia ya Sh.25 milioni za Kenya.
Shariff mwenye umri wa miaka 62, amesema kuwa alipata matatizo makubwa...
Nikiwa kwenye mtihani wa taifa kidato cha pili, baba alisafiri kwenda kijijini ambako mama yake ambaye ni bibi yangu alikuwa anaumwa sana.Huyu bibi alikuwa ananipenda sana.
Bahati mbaya wakati anaumwa sana na kuzidiwa alikua anahitaji anione kabla hajafa. Kama ujuavyo mabibi wanavyopenda...
Ninaishi Sinza, ninatembelea sana sehemu za Kariakoo, Ilala, Mbezi, G/mboto, Mwenge, Morogoro nk.
Ndani ya hii miezi mitano, nimeshuhudia kifo kimoja na familia nzima kupelekwa quarantine ila walipona na sasa nipo nao mtaani. Personally hivi nimevishuhudia. Tetesi zinasema kuwa Corona ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.