Amesema “Tunamshukuru Rais Magufuli kwa kusimama imara katika kuongoza mapambano dhidi ya #CoronaVirus hadi sasa ambapo Ugonjwa huo unaelekea kuisha nchini Tanzania”
Ameeleza kuwa “Katika Mikoa hiyo, upo Mkoa wa Dodoma na nyie ni mashahidi kama mlivyoona katika Kituo chetu cha Afya cha Mkonze...
Utafiti mpya umeonyesha kuwa mgonjwa wa korona ana uwezekano kubwa wa kutoambukiza watu wengine baada ya siku 11 hata kama akipimwa akaonekana ni positive.
Jielimishe zaidi.
======
Covid-19 patients are no longer infectious after 11 days of getting sick even though some may still test...
Coronavirus: Victoria ticket worker dies after being spat at
Ticket office worker Belly Mujinga died of coronavirus in April
A railway ticket office worker has...
Waziri wa Afya wa Rwanda Daniel Ngamije amesema wizara yake imepanga kusambaza roboti kwenye vituo vya kutibu virusi vya Corona na maeneo mengine ya umma.
Akiongea kupitia televisheni waziri Ngamije amesema Roboti tano zilizoagizwa kutoka nje ambazo zimepewa majina ya Kinyarwanda zitatumika...
Wakuu, Poleni kwa kuwapoteza Wapendwa wenu kwa namna moja ama. Kuna nyakati inabidi kuna mambo tukumbushane au tufundishane, si dhambi. Kwa kipindi hiki cha Corona kuna wenzetu wanaweza kuzidiwa ghafla na tukahindwa kumsaidia kwakuwa hatuawafahamu ndugu zao na kwakua simu zao zina Passwords...
Hugo Chavez ni shujaa wa itikadi ya Ujamaa mpaka kifo kilipomchukua Machi 5, 2013. Watu wenye imani isiyoyumba ya falsafa zote za Mrengo wa Kushoto (Left-Wing), kwao Chavez alikuwa jemedari kinara dhidi ya Ubepari.
Chavez aliuchukia ubepari na aliijenga Venezuela kuwa taifa la Kijamaa kupitia...
Tweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
Waziri wa afya Ummy Mwalimu ametangaza kifo cha mgonjwa wa Corona kilichotokea leo asubuhi katika kituo cha Mlonganzila.
Anakuwa mgonjwa wa kwanza nchini kutangazwa kufa kwa ugonjwa huu.
"Nasikitika kutangaza Kifo cha Kwanza cha Mgonjwa wa COVID-19 hapa nchini Kilichotokea alfajiri ya Leo...
Nashauri serikali ije na mikakati ya muda mfupi wa kudhibiti ugonjwa huu na mkakati mmojawapo uwe ni kutoa chochote(fedha,cheti maalumu,n.k) kwa yeyote atakaepimwa na kugundulika na corona na kisha akaamua kujitangaza mwenyewe hadharani au akaruhusu atangazawe hadharani na mamlaka husika na...
Kuna kipindi huwa najiiliza maswali mengi sana Na miongoni ya maswali hayo.
1.Hivi Watu wanapokuwa Kwenye nyumba za kuabudu (Makanisani Na misikitini) huwa wanakwenda Kwa ajili ya kujionesha ama wanamaanisha?
Kwa nini najiuliza
Leo asubuhi nimeamka na kukutana na Vidio ya Kiongozi tena wa...
Wizara ya Afya imethibitisha kisa cha kwanza cha Covid19 nchini Uganda. Waziri wa Afya Dkt Ruth Aceng amesema mgonjwa huyo ni mganda mwenye miaka 36 aliyerudi kutoka Dubai 21 Machi, saa nane usiku
Mtu huyo alienda Dubai Machi 17, alitumia siku nne huko kwa masuala ya kibiashara. Alikuwa na afya...
Magonjwa ni sehemu ya maisha ya binadamu. Yanaweza kuwa muendelezo wa magonjwa ya muda mrefu, ajali kama stroke au kugongwa na Gari. Inaweza kutokea kwa mume/mke, Baba/mama au mtoto wako. Si wengi wenye uwezo wa kulipa mtu mwenye taaluma na ujuzi wa kumtunza mgonjwa. Nimeamua kuandika uzi huu...
Nilipigwa pin ya kutokwenda kazini kwa siku 14. Baba chanja alinipa pesa ya kutumia maana nililalamika mno akaona isiwe shida.
Siku kumi na nne zilivyokwisha tu nilipiga simu ban yangu ikaondolewa. Baada ya kufika kibaruani nilikuta Dettol Antibacterial wipes za kumwaga. Kwakweli kama ni...
NANI ANAMTUMIA MWANA FA?
Na Thadei Ole Mushi
Mwana FA yupo Karantini au yupo nyumbani?
Wagonjwa wanaojulikana positive si wanawekwa Karantini chini ya uangalizi?
Mbona hajavaa Mask? Wanaomletea Chai, Chakula nk si atawaambukiza wote?
Je ni Nani anahusika kuvitangaza hivi visa? Ni wagonjwa...
Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.
Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini.
Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono.
Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako...
Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air.
Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna...
Mimi ninafanya kazi kama freelance, ninalipwa kutokana na shift ninazofanya. Tarehe 5 usiku niliamua kufanya night shift amabayo hunilipa malipo zaidi kuliko day shift. Kwakuwa Nina mambo mengine night moja kwa wiki inatosha kulipa bills za wiki, chakula na mafuta ya Gari.
Nilifika kazini saa...
1. Mbunge ni Kiongozi.
2. Mbunge ni mwakilishi wa umma
3. Mbunge ni mtunga sheria zinazohusu maisha yetu na ya askari pia.
4. Mbunge ni mtu anayehishimika na anaheshimiwa. Kabla ya kutaja jina lake tunaanza na neno Mheshimiwa (Honarable).
Ni nini kinapelekea hadi Mbunge apigwe kama kibaka tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.