Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Ramaiah India imeendesha kambi maalum ya uchunguzi na tiba ya mishipa ya damu kwenye ubongo bila kufungua fuvu kwa mbinu za kisasa.
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Respicious Boniface amesema zaidi ya wagonjwa 160...
Hii nashuhudia mara nyingi tu wakinamama au wadada wakiwa kwenye siti ya bus awawezi kuinuka na kumpisha mtu awe mzee au mama mwenye mtoto au mgonjwa au mwenye mimba utaona wanaume mara nyingi ndio wanafanya hilo sasa nakosaga jibu kwanini inakuwa hivyo
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) linamshikilia ALLEN SAMWEL MHINA, Miaka 31, Mbondei, Mkurugenzi wa Mtandao wa kijamii wa U-turn Collection mkazi wa Temeke Mwembeyanga na wenzake 13 kwa tuhuma za kusambaza video katika...
Halafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza...
Mke wangu alienda kwao kujifungua,Zimepita siku 70, nimechepuka Mara moja tu Tena mechi ya muda mfupi,najikuta daily nipo bussy na kazi , nikurudi jioni Ni kupita bar Kula mitungi Kisha kulala, hii hali ya ubize imeanzza kunishitua Sana kuwa huenda sipo sawa ,
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita leo Jumatano Novemba 3, 2021 imeahirishwa hadi kesho kwa kuwa Sabaya ni mgonjwa.
Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana shauri la Sabaya lilipanga kuendelea kusikilizwa leo ambapo shahidi...
"Amewaambia nani naumwa?" nimekumbuka haya maneno tuliambiwa na jirani yetu mgonjwa baada ya kusikia anaumwa tukasema ngoja tukamuone ila kilichotukuta mpaka huwa nawaza Mara mbili mbili namna ya kwenda kumuona mgonjwa.
Jamii yetu bado haielewi kama suala LA kuumwa linabaki kuwa la familia au...
Mtenge mgonjwa katika chumba cha peke yake, mgonjwa ale au alishwe katika chumba chake.
Vaa barakoa kila unapoingia chumba cha mgonjwa.
- Safisha vyombo vyake kwa maji ya moto ukiwa na glovu, usitumie vyombo vya mgonjwa
- Safisha mikono yako baada ya kumhudumia
- Kuwa na mawasiliano ya...
Niende moja kwa moja kwenye maada. Kuna dada mmoja alipatwa na bawasiri ila ile bawasiri ilipona kwa dawa pasipo kufanyiwa operation's. Kilichojitokeza sasa ni jipu pembeni ya tundu la haja kubwa, baada ya jipu kupasuka imetengeneza njia ambayo ina uhusiano na njia ya haja kubwa, hivyo basi...
Kwanza nami nalaani alichokifanya yule Bw Dokta.
Baada ya lile tukio nimesikia matamko mbalimbali ya kulaani ambapo miongoni wao ni Madaktari wenzake....na nadhani hata bado kuna mchakato wa kumuadhibu kwa kukiuka maadili.
Baadae nikakumbuka ya kuwa kuna wakati Madaktari huamua kugoma, na hapo...
Wizara ya Afya imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa hii inayozunguka mitandaoni kuwa, mtaalamu wa Afya katika kituo ambacho bado hakijatambuliwa amemshona mgonjwa jeraha kisha akalifumua kwa madai kuwa mgonjwa huyo hakuweza kulipia gharama. Ikiwa hili limetokea nchini Tanzania, basi ni...
Taifa ni watu. Taifa fulani linapokuwa maskini au tajiri huashiria umaskini au utajiri wa Taifa hilo. Uchumi wa nchi unapokua au kuanguka humaanisha uchumi wa wananchi wa nchi hiyo unakua au kuanguka.
Nchi yetu imejaliwa kila kitu chema lakini tumenyimwa super intelligent leaders. Yaani...
Kuna hoja imeibuka hapa hasa baada ya mzigo wa chanjo kuwasili.
Kwanza niseme tu kwamba iwapo chanjo ya COVID itakuwepo na nikapewa taarifa sahihi na fursa ya kuchanjwa na mimi mwenyewe nikawa na sababu na uwezo wa kwenda kuchanjwa basi nitaenda kuchanjwa. Hivo andiko hili halilengi kukebehi...
Uongozi wa Hospitali ya KCMC umetoa taarifa ya kuruhusu mtu mmoja tu kumuona mgonjwa ambaye atakuwa amelazwa hospitalini ambao watakuwa na vitambulisho maalum
Aidha wagonjwa wanaoenda klini au kuanzamatibabu wametakiwa kwenda peke yao au kuwa na ndugu mmoja iwapo watakuwa wamezidiwa
Hospitali zote na vituo vya afya nchini zimeagizwa kutoa damu kwa Mgonjwa mwenye uhitaji huku wataalamu wa afya wakisisitizwa kuendelea kutoa elimu kuhusu uchangiaji damu kwa hiari, kupitia vituo vya Kanda, Mikoa, Halmashauri na maeneo yatakayokuwa yameandaliwa kwa ajili ya uchangiaji damu...
Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge.
Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
ajabu
bado
bunge
chanzo
dhaifu
dikteta
jibu
kali
katiba
kiburi
kiongozi
lema
maendeleo
maisha
majanga
mama samia
mgonjwa
mmoja
msamaha
mungu
mwaka
namna
nchi
ndugai
onyo
samia
serikali
sheria
siasa
spika
spika ndugai
tabia
taifa
tanzania
uganda
wake
wako
wananchi
Ushahidi huu hapa
Natoa pole kwa Wafiwa .
zaidi soma:
https://www.jamiiforums.com/threads/mama-anna-mghwira-usiongee-sana-peleka-vielelezo-juu-ya-kifo-cha-mama-yake-hoyce-temu.1872308/...
Habari wapendwa,
Nina ndugu yangu alipata ajali na familia yae! Kwa ufupi tu anahitaji mtu wa kumsaidia mtoto wake wa umri wa miaka nane, amevunjika na hajitambui anahitaji mtu wa kumhudumia wa kiume kwa kipindi cha wiki mbili.
Malipo ya siku ni elfu kumi. 10000/
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.