Kuna kijiwe ambacho mida ya jioni, wazee hukutana kujadili baadhi ya vitu na kubadilishana mawazo, watu wengi hukusanyika hususani vijana kuchota busara za wazee hao.
Watajadli mambo mbalimbali kuanzia mpira, Imani mpaka siasa na yote wanayojadli vijana huokota chochote Cha kuwafaa maishani...
Ni Binti mdogo mwenye umri wa miaka 23,na mwenye mtoto mmoja Familia hii haina Baba kwani baba yao alishafariki Miaka mingi iliyopita na kijana aliyempa mimba binti alimtelekeza tangu mtoto akiwa ana miezi 6.
Mama wa huyu binti ana umri wa miaka 63 alikuwa mzima kabisa tangu kuzaliwa huku...
Kufuatia tukio la mwanaume mmoja anaesemekana kuwa na mataizo ya akili kukata uume wake, ambapo toka tukio hilo limetokea mpaka baada ya matibabu waandishi wametoa taarifa zote juu ya hali yake, ikiwemo jina, umri, jinsia, makazi na ugonjwa wenyewe.
Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha...
Wakuu, naona kama Watu wengi pamoja na Taasisi ya MOI wamejielekeza na kutupia lawama upande mmoja wa Mgonjwa aliyeonekana akimbusu mpenzi wake Wodini. Kimsingi hakuna kosa lolote alilofanya pale, na sidhani kama kuna sheria inazuia jambo hilo. Labda kama aliyefanya naye kitendo kile ni mtoa...
Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imetoa ufafanuzi kuhusu uvunjifu wa maadili uliofanywa na Mgonjwa (jina limehifadhiwa) na anayedaiwa kuwa Mpenzi wake (jina limehifadhiwa) ndani ya wodi (3A) siku ya Jumapili mchana tarehe 9/07/2023 ambapo katika uchunguzi wa awali mgonjwa...
Best kama hauna watu kama hawa kwenye ukoo wenu katoe sadaka ya LKUJIMALIZA asikwambie mtu,,,,,,yaani wachaga tunavumilia mengi sanaaaaa
Kuna magrp ya ukooo matajiri usiwaguse ati una ndugu yako mgonjwa aisee watakurudisha na vibokoooooooooo
Ila itokee yule mgonjwa kafaa best yaan...
Je, mgonjwa wa figo ambaye zimesha haribika na yuko kwenye dialysis huwa maisha yake yakoje? haswa mgonjwa aliye kijana na mwanaume. Je, huwa anaweza ishi maisha ya kawaida, yani kufanya mazoezi kwenda gym, kujenga misuli?
Je, kwenye msuala ya sex anakuwaje, anauwezo ule ule au unapungua?
Haya Waandishi wa Habari njooni upesi Kawe jirani na ulipo Msikiti maarufu wa Londa kisha tembeeni hatua chache ulizeni Nyumba ya Mmiliki ( sasa Marehemu ) wa Hoteli Kongwe na Maarufu ya Kawe iitwayo Maifea na mkifika tu hapo ulizeni Nyumba ya Mama wa Kihaya ( Mtani wangu ) aitwae Mama Queen ili...
Wasalaam JF,
Hivi kweli hawana soni ya kushika makalio ya pisi zetu kali? Ukorofi huo🙄🙄
Kumezuka wimbi kubwa la kukiuka miiko ya kijinsia hivi kweli ni halali Daktari au Nesi wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike.
Hili ni sawa sawa kweli,? Tafadhari serikali iingilie Kati huu...
Niko hospitalI ya Serikali mgonjwa wangu amefanyiwa operation juzi usiku saa nne, hospitali iko jirani na Kariakoo,
Kutoka nimeambiwa haiwezekani.
Mpaka either tuchangie damu,
Tulipe tena wakati tulishalipa hela ya kujifungulia laki 1
Au wemesema tusaini kama tunaondoka na mgonjwa kwa ridhaa...
Mnyika amesema mzee Masinde pamoja na kutambua kuwa anaumwa ugonjwa huo lakini hakutaka ufahamike kwa familia na ndugu wa karibu ili kutozua taharuki na kuwafanya wakate tamaa.
===========
Akitoa salamu za rambirambi mbele ya familia ya marehemu, Mnyika amesema Masinde alifariki kwa ugonjwa wa...
Yupo mgonjwa aliyepata ajali ya kugongwa na pikipiki na amevunjika nmguu. Tangu mapema saasita mchana hadi saa kumi na nusu hawataki kumpatia mama huyo kitanda wamemuweka mapokezi eti wanadai anatakiwa kupelekwa hospitali ya Bombo.
Mama huyo familia yake wamechelewa kupata taarifa na...
JF SUMMARY
Jeshi la Polisi linamshikilia Sabihi Mpando, Mkazi wa Chipuputa kwa tuhuma za kumfanyia Ukatili wa Kingono Mgonjwa mwenye mwenye miaka 17 aliyekuwa akimtibu wakiwa Makaburini.
Kaimu Kamanda wa Polisi, Hamis Ramadhani, amesema, Mganga alimlaghai mwathirika na kwenda naye eneo la...
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho.
Chanzo: ITV Dakika 45
Habari ndg wanajamii!
Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali nipate kipato niweze kuendelea kumhudumia mama yangu ambae ni mgojwa miezi sasa tangu anze kuugua hospitalini nimezunguka sana kila wakipima wanasema hawaoni kitu chochote daktari akanishauri nimchukue mgonjwa...
Mabishano kati ya medical professionals yanayolenga kupata huduma sahihi na safi kwa wagonjwa wao ni kitu cha kawaida na cha kila siku. Mabishano au mijadala ya namna hiyo kuna wakati mwingine inakuwaga mikali sana (heated). Mijadala hii hufanyika aidha kati ya mtu mmoja mmoja au kivikundi...
Mimi sijazama sana kwenye biblia na neno la Mungu.
Nina jirani yangu hapa mdogo wake anaumwa masuala ya uzazi na vidonda vya tumbo. Ana hali ngumu sana kiafya na safari za Bugando haziishi. Pamoja na madaktari Dada jirani amekuwa na option ya kwenda mchungaji kuombewa na kukabidhi swala lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.