Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) leo tarehe 20 Agosti, 2023 amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA), Mhandisi Leonard Msenyele.
Mhe. Aweso amechukua hatua hiyo kwa mamlaka aliyo nayo kupitia Sheria Namba 5 ya...
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania Mhandisi Mohamed Besta amesema TANROADS imepita katika vipindi tofauti lakini sasa ipo katika kipindi ambacho inabidi iwe na ubunifu wa kutumia mbinu mbalimbali na kutafuta namna bora zaidi ya kujenga barabara, na moja ya hatua ambazo zimechukuliwa...
MHANDISI - UWANJA WA NDEGE MWANZA UMEKOSEWA, VIGEZO HAVIKUZINGATIWA UWE WA KIMATAIFA
Hayo yameelezwa na mhandisi wakati mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Amos Makala alipofika kuangalia ujenzi unaoendelea.
Mhandisi huyo anafafanua kuwa maelekezo ya mwanzo waliyopewa wakati wa uanzishwaji wa mradi...
ENG. EZRA CHIWELESA - TANZANIA ITAIUZIA CHINA GESI ASILIA KUPITIA MRADI WA LNG
Mgodi wa Biharamulo StamiGold tumepokea Umeme na hasara ya Mafuta zaidi ya billion 1.2 yaliyokuwa yanatumika mgodini tuna umeme tayari, ni hatua kubwa na Mapinduzi katika Wilaya ya Biharamulo. Nina hakika Mgodi ule...
Naomba kama kuna mtu ana ufahamu na uhandisi wa MELI ( marine engineer) acomment hapo, kwa faida yangu na wengine.
Vitu kama masomo yake, ajira, mshahara, ugumu wa kazi n.k. chochote unachojua kuhusu hiyo fani kitanisaidia au unaweza kuzungumzia kuhusu fani nzima ya ubaharia.
Natanguliza shukrani.
Meneja wa TANROADS Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amezungumzia Sehemu ya Tatu ya mradi wa barabara inayoendelea na ujenzi wake Mkoani hapo amegusia pia kuhusu ujenzi wa Daraja la Malagarasi.
Ameeleza kuwa mradi huo unaohusisha barabara ya Mvugwe – Nduta yenye urefu wa Kilometa 59.3, gharama yake...
Bila shaka yo yote huyu Mhandisi John Nzulule aliyetenguliwa na Rais si mara yake ya kwanza kutupiga katika ununuzi wa ndege za serikali. Nadhani ametupiga katika ununuzi wa ndege serikali na pia ndege za ATCL ambazo zimekuwa zikinunuwa na serikali kukwepa kukamatwa na wadeni wa ATCL huko majuu...
MHANDISI FATMA REMBO - APANIA KUFANYA MAKUBWA NDANI YA UWT MKOA WA IRINGA
Mjumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa 2022-2027 Kutokea Mkoa wa Iringa Ndugu Eng. Fatma Rembo amefanya ziara maeneo mbalimbali Mkoa wa Iringa na kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
Wanajamiiforum habari, Kama kuna viongozi wenye karama ya uongozi duniani ni pamoja Mwanamama Mhandisi Marryprisca Mahundi, Kwanza amejishusha, anafanya kazi bila kuchoka pamoja na Jografia ya nchi yetu lakini bado hachoki kupambanua taifa lake Tanzania.
Zaidi Ni kiongozi anayependa kusikiliza...
Mhandisi mshauri wa mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanga (Tanzania) amekutwa amefariki Hotelin huko Jijini Tanga.
Abraham Jacobus raia wa Africa kusini alikuwa mhandisi mshauri wa mradi uo kwa upande wa Tanzania,Kaimu Kamanda wa police mkoani Tanga amethibitsha kutokea kwa tukio hilo.
Nina mteja wangu ambao anauza nyumba za ghorofa na jengo la flat (building with appartments)
Ameshapata wanunuaji wawili kwa ajili ya mradi.
Alikubaliana nao kuhusu bei.
Mteja wangu anataka kujenga jengo la ghorofa mbili.
Level ya kawaida itakuwa na biashara ya takriban 90 sqm, upande...
Nina mteja wangu ambao anauza nyumba za ghorofa na jengo la flat (building with appartments)
Ameshapata wanunuaji wawili kwa ajili ya mradi .
Alikubaliana nao kuhusu bei.
Mteja wangu anataka kujenga jengo la ghorofa mbili.
Level ya kawaida itakuwa na biashara ya takriban 90 sqm, upande mwingine...
Na John Walter-Hanang
Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara Mhandisi Samwel Hayuma amewataka wazazi na walezi kutimiza wajibu wao wa kuhakikisha wanafunzi wanakula chakula cha mchana shuleni .
Hayuma ametoa Kauli hiyo wakati wa mahafali ya 22 katika shule ya msingi Bassotughang iliyopo Kata...
Mheshimiwa waziri ukiwa pale Luponde Mkoani Njombe, wakati ukitokea Ludewa watu walikusimamisha na kukueleza adha wanayopitia kutokana na barabara kuwa mbovu na wewe uliuona uhalisia na ukaahidi kuwa mwezi wa tano mtatangaza Tender ya kuanza ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa-Manda kwa kujenga...
Naomba msaada wenu nijiandae na maswali gani,nimeitwa kwa mara ya kwanza na UTUMISHI,ni post ya MHANDISI MITAMBO DARAJA LA II (MECHANICAL ENGINEER) TEMESA
Msaada wenu nipitie wapi
job description yao ni hii
i. Kufanya kazi chini ya uangalizi wa mhandisi aliyesajiliwa na mwili wa usajili wa...
Je tutaacha alama hapa duniani pale muda wetu wa kuishi kulingana na wito na kusudi la kuwepo kwetu hapa duniani utakapokuwa umefikia ukomo? "Haijalishi umeishi miaka mingapi bali umeweka alama gani katika miaka uliyoishi" ni moja ya mstari ambao huwa tunausikia katika misiba na mafundisho...
Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.
Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP
=====
Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma.
Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na...
Mhandisi mkazi wa mradi wa JNHPP Rufiji maarufu Stiegler's Gorge amesema wanatumia upembuzi yakinifu wa mwaka 1980 na siyo upembuzi wa 1970. Pia design ya 2017 imefanya mabadiliko ya Upembuzi Yakinifu wa 1980. Kitu pekee ambacho hakijabadilishwa kabisa ni upembuzi yakinifu (geology) ya miamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.