Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mhashamu Wilbroad Kibozi kuwa Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Kondoa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Askofu wa jimbo hilo, Mhashamu Bernardin Mfumbusa.
Kabla ya uteuzi huo, Askofu Kibozi alikuwa akihudumu kama Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma...