mheshimiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Doctor Mama Amon

    Tunamshukuru Waziri wa Ulinzi, Innocent Bashungwa kwa kuongelea ‘malengo’ ya ubinafsishaji wa bandari za Tanzania

    I. Utangulizi Tumefurahi kumsikia Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa, akiongelea uzuri wa malengo ya uwekezaji katika Bandari za Tanzania. Lakini Mhe. Bashungwa anapinga mtazamo kwamba mkataba wa Tanzania na Dubai unaongelea ubianafsishaji wa bandari. Mara ya...
  2. Wimbo

    Ushauri: Uwanja mpya wa Mashujaa uongezwe hadhi

    Mama wa Taifa Samia, Hongera kwa wazo Mulua la kujenga sehemu ya mashujaa makao makuu Dodoma, nikuombe, naamini unao uwezo wa kuliomba Taifa lione umuhimu wa jambo hili, ujenzi huo ujumuishe sehemu muhimu ya kuwahifadhi mashujaa wetu ambao kwa kuwa Dodoma sasa ni makao makuu yetu rasmi, viongozi...
  3. Gulio Tanzania

    Rais Samia atumie kete yake ya mwisho kumaliza utata wa bandari

    Mpaka sasa tumeachwa gizani hatujui mustakabali wa nchi yetu swala la mkataba wa bandari upande wa utetezi ukimsikiliza Mheshimiwa waziri mkuu ,waziri wa ujenzi na uchukuzi,na msemaji wa serikali hawa wote nimewasikiliza kauli zao kila mtu kila mtu anasema lake lakini bado hawakati kiu ya...
  4. Kasanzu The Great

    Rais Samia anachapa kazi ila hazitangazwi ipasavyo. Wasaidizi wa Rais fanyeni kazi ipasavyo

    Pesa ambayo Mama Samia meipeleka kwa wananchi tangu aingie madarakani ni pesa nyingi Sana. Amejenga madarasa, vituo vya afya, ameanzisha utaratibu Wa kupeleka mil 500 kila jimbo kwa ajili ya Maendeleo ya barabara, ameinua uchumi wetu, amerejesha siasa za ushindani na demokrasia, maslahi ya...
  5. F

    Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

    Mtakumbuka Mara tu baada ya Kikwete kuingia madarakani mwaka 2005, Mkuu wa Majeshi Robert Mboma alikuwa anakaribia muda wake wa kustaafu. Msaidizi wa General Mboma alikuwa Luteni Generali Gideon Sayore. LG Sayore alikuwa hajafikisha umri wa kustaafu jeshinni huku Bosi wake Mboma akistaafu...
  6. K

    Rais kuteua waliotenguliwa ni kuipaka matope ofisi, vinginevyo Serikali itoe ufafanuzi

    Naomba kupandiaha barua ya Ikulu mnamo mwezi January 23 ambayo ilitoa taarifa ya kufukuzwa kazi wakurugenzi kadhaa,soma jina namba 2 na jina namba 5 halafu pitia majina namba 80 na jina namba 115 kwenye teuzi zilizofanyika jana. Katibu Mkuu kiongozi na wizara ya utumishi wanahitaji kumsaidia...
  7. B

    Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda, kauli yako ya kufunga Shule ni kama imedharauliwa au haijasikika. Chukua Kipaza Sauti

    Hii tabia ya watendaji wa Elimu kutotii maagizo ya boss wao either ni ishara ya dharau au ni kushindwa kutii maagizo kwa makusudi. Sisi wazazi tunasubiri watoto wetu kurejea nyumbani alafu wanatokea maafisa Elimu na wakuu wa dhule wasio na nidhamu kwa maboss wao kwa makusudi wanaamua...
  8. F

    Rais Samia waonee huruma maskini wa Tanzania, watu wanakufa kwa kukosa dawa huku wengine wakichota mabilioni

    Naomba kuchukua nafasi hii kuandika kwa kifupi kabisa ombi moja kwa niaba ya watanzania. Nakuomba Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia tafadhali wachukulie hatua za kisheria wote wanaohusika na ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi yetu. Tunakopa matrilioni, lakini tunapoteza matrilioni...
  9. John120

    Rais Samia, achana na majina ya magarasa unayoletewa

    Mhe. Rais, mawaziri wengi na watendaji wako unaowateua kukusaidia ni mizigo mikubwa, wamekuwa na uwezo mdogo wa kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Sikufundishi kazi, ila unaeona hatoshi katika wizara au katika nafasi uliyompa mpumzishe kuna watu wako very smart tofauti na hao...
  10. Msitari wa pambizo

    Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  11. TRA Tanzania

    Salamu za pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

  12. M

    Rais wapunguzie kina Mbowe asali, wamepagawa

    Mheshimiwa Rais, Shikamoo. Pole na hongera kwa majukumu mazito ya kujenga Taifa. Nakuandikia andiko hili kukuomba kwa heshima na taadhima kubwa kwamba , Mheshimiwa. Tafadhali, Tafadhali sana. Sana sana. Wapunguzie akina Mbowe na genge lake asali. Inawalevya, Wanapagawa na wanafanya mambo mpaka...
  13. S

    Rais Samia kama ikikupendeza mteue Thobias Mwilapwa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga

    Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa. Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni mtu anaefaa kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wa Shinyanga.
  14. Makonde plateu

    Mheshimiwa mmoja kijana kutoka Arusha apigiwa mke wake

    Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mke wa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu. Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu...
  15. Momazi

    Rais Samia unapozungumza na wanafunzi wa elimu ya juu usisahau fedha za mafunzo kwa vitendo (field)

    Rais Samia mama yetu tunatambua nia yako njema ni kuiona Tanzania ikisonga mbele na kuondoa manung'uniko mengi. Mama wewe ni mfariji mkuu tunaomba unapokuwa unazungumza na wanafunzi wa vyuo hapo Dodoma uliangalie suala gumu ambalo tulikabiliana nalo mwaka jana tulipokuwa katika mafunzo kwa...
  16. Msanii

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Mfumuko wa Bei upo, na hauvumiliki

    Leo nimemsikia mubashara mheshimiwa Makamu wa Rais ndugu Philp Mpango alipokuwa anahutubia viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye kilele cha kumbukizi ya kuzaliwa chama chetu CCM. Nilidhani kwenye hotuba yake ataainisha mikakati ya serikali kudhibiti mfumuko na kuboresha ugumu wa maisha unaowakabili...
  17. Lizaboni

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuja kuizika kabisa CHADEMA

    Wadau, amani iwe kwenu. Katika historia ya upinzani nchini, mwaka 2015 ulikuwa ni uchaguzi ambao ulitushughulisha sana wana CCM. Hata hapa kwenye jukwaa mijadala ilikuwa ni mikali na mnyukano kati ya CCM na CHADEMA ulikuwa wa wazi. Nakumbuka wakati huo ukianzisha mjadala wa kumshambukia...
  18. T

    Nabii Mkuu Dkt. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako ndio mtu maarufu kutoka Arusha toka tupate Uhuru

    Ni wazi kwamba toka Tanzania ipate uhuru, Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr Geor Davie wa Ngurumo ya Upako na Msemaji Mkuu wa Serikali na Ufalme wa Mungu hapa Duniani ndie mtu maarufu kuwahi kutokea katika mkoa wa Arusha. Umaarufu na ushawishi wa Nabii Mkuu umefanya sasa hata wanasiasa wa mkoa wa Arusha...
  19. kyagata

    Sugu jaribu kuwa mtu mzima

    Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
  20. badison

    Namba ya Hayati Rais Magufuli inayoishia 9999 imejiunga Telegram

    Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS na Jeshi la Polisi. Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe, tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na siyo iendelee kutumiwa...
Back
Top Bottom