Zuchu nilikuwa nakaonaga katoto ka 2000 tu kumbe ajuza wa kwenda, sasa hapa mbona kama team ya WCB imefeli pakubwa maana kwa umri wa Zuchu hata akichuana na Tyla hatoboi hata kidogo, age imeenda hata kasi yake ya kufikiri jumbe za kueleweka lazima iende low kadri umri unavyopanda.
WCB ni label...
JOHN Chibuga (31), mkazi wa Kijiji cha Bugolola wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza, ambaye Desemba 9, mwaka jana aliachiliwa kwa msamaha wa Rais, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kukutwa na kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha.
Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Aidan Nziku, alidai...
Habari za Jumapili,
Maisha sio Pouwa! Nakubaliana na wale wanaosema Maisha ni majaliwa. Na jitihada hazizidi kudura.
Wapo waliosoma kwa bidii mila hiyo na waliona taa ya matumaini kulingana na matokeo ya darasani waliyokuwa wakiyapata. Waliamini kuwa maisha yao na hatma yao ipo mikononi mwao...
miaka 30 x siku 365 = siku 10,950
Bilioni 1 gawanya kwa siku 10,950 = el 91 kila siku
Hizo ni hesabu za KUKURUPUKA ambazo anaepiga ana kila dalili ya kukosa maarifa kutambua kwamba pesa huwa inapungua thamani kadri muda unavyoenda (time value of money) hasa kwa mifumuko ya bei,
shilingi 50 ya...
Mahakama ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe tarehe 16 Februari 2024 imemhukumu mshtakiwa GIVEN MICHAEL NZUNDA (24) Mkulima, mkazi wa Shilanga kutumikia Kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la Kubaka.
Mtuhumiwa alikamatwa Disemba 15, 2023 maeneo ya Shilanga, Kata ya Ihanda Tarafa ya Vwawa ambapo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Uvinza imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela dereva wa bodaboda, Ruben Gerishon (24) mkazi wa Kijiji cha Mlela wilayani humo mkoani Kigoma baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka abiria wake.
Sambamba na hukumu hiyo, mahakama imetaifisha pikipiki iliyokuwa ikitumiwa na...
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, imemuhukumu Baraka Michael (25) mkazi wa Rutale wilayani Kigoma kwenda jela miaka 30 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 66.
Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi, amesema kuwa Mahakama...
Mahakama ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mtweve(28) mkazi wa kata ya Lugarawa kwa kosa la kumlawiti mke wake (27) ambaye jina lake limehifadhiwa.
Awali akisomewa shitaka hilo na mwendesha mashtaka Asifiwe...
Vijana oeni mapema
Kadri umri unavoenda probability ya kuangukia kwa MTU broken ndio inaongezeka.
Umri WA wadada single broken unaanzia 28yrs
Umri WA wanaume single broken ni 35+
Ukijichanganya ukachelewa kuoa au kuolewa utakutana n'a mwenza aliyekata kamba.
Manake kashaumizwa sana hadi...
Burkina Faso imeegemea Urusi tangu Jeshi lilipochukua Madaraka kwa njia ya Mapinduzi Mwaka 2022 kisha kuwafukuza Wanadiplomasia wa Ufaransa na kufunga kambi ya Kijeshi ya Ufaransa Nchini humo.
Ufaransa ililaani mapinduzi ya Burkina Faso pamoja na katika Nchi jirani za Mali na Niger.
Hatua hiyo...
Nahisi kama Mungu ameingilia kati ili kuwanusuru walimu na hii dhahama.
Uku taarifa zisizoaminika mama ndio mgeni rasmi.
Taarifa zingine CCM mwanza imewanyima uwanja.
Huku sisi mtaani tukilalamika cwt wanavyotupiga 2% bila kazi ya msingi.
Chama cha walimu Tanzania kinaazimisha miaka 30 ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kujitathimini na kutafakari kwa safari yenye milima na mabonde kuanzia November 1993 mpaka Leo 2023 November
Hakika maazimisho hayo mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, kwasababu...
Nimemsikia waziri Mkuu akiongea na ma OCD juu ya kesi 50 za wanafunzi kupata mimba kuishia POLISI.
Mawazo yangu juu hali hiyo,
Miaka 30 ni mingi mno. Hivyo hata polisi nae ni binadamu, familia nao huwa na ubinadamu miaka 30 sio kitu rahisi. Ushauri wangu utaratibu ungekuwa kama ifuatavyo...
Nimebakisha miaka 4 kuingia 30.
Zamani tunakuwa tuliona miaka 30 ni mingi Sana ila sio kweli but it's just a stepping stone ni Mwanzo wa kuyaelekea Mafanikio Makubwa.
Jambo ambalo nimeona miaka 30 kwa TANZANIA Africa ndo Muda sahihi wa kujifanyia Self-Evaluation tathimini binafsi kwa kuangalia...
Nimebakisha miaka 4 kuingia 30. Zamani tunakuwa tuliona miaka 30 ni mingi Sana ila sio kweli.
Jambo ambalo nimeona miaka 30 kwa TANZANIA Africa ndo Muda sahihi wa kujifanyia Self-Evaluation tathimini binafsi kwa kuangalia wapi ulikuwa wapi upo na wapi unahitaji ufike.
Pia katika miaka 30...
TGNP yasherehekea miaka 30 ya uwepo wao. Taasisi hii imekuwa ikifanya tapo la haki na ustawi wa wanawake.
JamiiForums tutakuwa na banda la kujadili na watu mbalimbali kuhusu vitu mbalimbali na kusikiliza wateja.
TGNP imetaarifu kuhusu mafanikio kadhaa na changamoto kadhaa ambazo bado wanawake...
Amemgonga huyu ndege bwana afya na bodaboda mpaka kifo mbele ya mashahidi lukuki.
Wanasheria wa mtaani wanadai ana kesi nzito sana hapa ya kujibu.
Kwa kuanza tu ametoroka mjini ameenda kujificha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.