2020
Bwana Hamis (sio jina halisi) alikua ni kijana wa mtaa, wakati huo amemaliza form 4 pale kinondoni, hakufaulu na hakupata ajira yoyote so akawa ni mtu wa maskani tu.
Maskani ya vijana wengi wa dar hua inakua opposite na gheto la mwamba mmoja ambaye hua ametoa ruhusa ya mwana yoyote kati...
Habari wakuu, miezi mitatu iliyopita nilikuwa ni mwalimu wa kujitolea shule moja ya serikali. Mama yule alikuwa kapata nafasi shule.
Basi mama yule alifika ili aonane na makamu mkuu wa shule ili ampe prem number kwa ajili ya uhamisho. Bahati mbaya makamu mkuu wa shule hakuwepo ikabidi aniachie...
Huko Iringa Mahakama ya wilaya ya Kilolo imemhukumu Frank Kigomba miaka 30 na kutakiwa kulipa faini ya shilingi laki 5 kwa kosa la kumbaka dada yake wa kuzaliwa kwa maelekezo ya mganga wa kienyeji ili awe tajiri.
Matukio ya kubaka, kuua na kutafta utajiri sasa yamehama kutoka kanda ya ziwa na...
Mkazi wa kijiji cha Geilailumbwa kilichopo wilayani Longido mkoani Arusha, Lemindia Lesiria amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka binti mwenye umri wa miaka 16.
Mbali na kosa hilo mtuhumiwa huyo na rafiki yake, Kulasa Mandeu wamekutwa na hatia katika makosa...
Nina swali kwenu. Mnafanya mazoezi gani, au mabadoliko yotote ya chakula pindi mnapo hit miaka 30+. Nauliza hivi kwasababu kuanzia miaka hiyo sex is shorter si kama awali, kidogo tu wazungu hao. Tofauti na wanawake, sex drive iko juu mno, mpaka inatisha. Nini kimekusaidia ku last longer...
Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
NB: nazungumzia akili ya maisha na sio pesa, elimu ya darasani, cheo, kuoa, n.k. hivi vitu hata kijana mwenye 18 anaweza kuwa navyo lakini AKILI bado haijakamilika kupevuka.
Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma Mkoa wa Mara imemhukumu kwenda jela miaka 30, mkazi wa Kijiji cha Kibubwa Wilaya ya Butiama, Juma Ligamba (40) baada ya kupatikana na kosa la kubaka kinyume cha sheria.
Mahakama hiyo imemtia hatiani, Ligamba baada ya kuthibitika kuwa alimbaka binti mwenye umri...
Mahakama mkoani Mara imemhukumu Paschal Anatory mkazi wa Musoma miaka 30 gerezani baada kutiwa hatiani kwa kosa la kubaka mara kwa mara binti yake wa kufikia anayesoma shule ya msingi.
Akitoa jumuisho, hakimu wa Serikali aliomba mahakama itoe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
Kontena la kwanza la futi 20 lililobeba Tani 7.5 za Korosho iliyosindikwa liliondoka Mtwara Oktoba 5, 2022, na mwezi Novemba Kontena nyingine 5 zitasafirishwa kwenda Marekani baada ya Tanzania kujaribu kwa miaka 30 na kugonga mwamba.
Korosho hizo ni kati ya tani 50 zilizonunuliwa kutoka...
Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kiteto dhidi ya Charles Lemje mwenye miaka 52, Mkazi wa Kijiji cha Pori Namba Moja mbele ya Hakimu Mosi Sasy.
Mshtakiwa alikumbushwa kosa lake na Mwendesha Mashtaka wa Serikali Willfred Mollel kuwa Septemba 23, 2021, alimbaka mwanae wa kufikia...
Hizi pisi ukifika 30 unaweza kuzipata kwa urahisi sana, ni kama vile hata hutongozi maana una uzoefu mkubwa tayari wa maisha kiujumla hata wanawake unakuwa na uwezo mkubwa kuwamudu, ukimhitaji mwanamke hupindishi pindishi unanyooka straight na kwa bahati nzuri ni kama muujiza waanawake wana...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma mkoani Mara, imemuhukumu kwenda jela miaka 30 mwalimu Idrisa Athumani (29) wa shule ya Msingi Kyawazaru iliyopo wilayani Butiama baada ya kukutwa na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake
Hukumu hiyo imetolewa leo Septemba 16,2022 ikiwa ni siku mbili tu tangu mwalimu...
Hakika wanawake si binadamu, ni viumbe wa ajabu sana kulinganishwa na majini au hata nyoka. TUISHI NAO KWA AKILI
Mwaka 2017 huyu binti alikuwa kidato cha nne. Kwa bahati mbaya alipata ujauzito mwezi wa tatu. Juhudi za kumtafuta mhusika zilimwangukia kijana aliyekuwa anachukua diploma ya unesi...
Hebu tuiangalie sheria hii ya ubakaji, kwa wanafunzi. Kila mmoja anajua kuwa sheria ya ubakaji kwa upande wa mwanafunzi ni miaka 30 kwa upande wa mwanaune na kuachishwa masomo kwa upande wa mwanamke. Hapa nataka niliseme jambo kuhusu hii sheria na. mambo yenyewe ni kama matatu hivi.
1. Nani...
Wadogo zangu ambao mnaosoma huu Uzi ambao mpo katika harakati za kutafuta kazi ukiona umefika umri wa miaka 30 hujapata kazi nakushauli achana na mambo ya kutafuta kazi na anza kufanya plan b kama ni kilimo,ufugaji,biashara uanze kutengeneza maisha yako badae mapema usisubili time its too late...
Mahakama ya Wilaya ya Iringa, imemhukumu kinyozi, Batista Ngwale (27) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kumpa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18.
Binti huyo alikuwa akisoma kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kibena iliyopo Iringa Vijijini.
Binti aliiambia...
Kongamano la kujadili Mafanikio na Changamoto za Kidemokrasia, Utawala wa Sheria na Ushiriki wa Umma, Dar es Salaam.
GEOPHREY PINDA (NAIBU WAZIRI KATIBA NA SHERIA): Tanzania hakuna Sheria mbovu, bali tuna Sheria zilizopitwa na wakati, zinazohitaji kufanyiwa marekebisho ili kuendana na wakati...
Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.
Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au...
Hiki ni kisa cha kusikiktisha sana. Mtoto Jason alimuona baba yake akiumwa na hadi kifo. Baba yake alikuwa mmoja wa wahanga wengi wa jumuia iliyokuwa na ugonjwa wa :Haemophilia, muathirirka wa janga hili huwa na uwezo hafifu wa damu kuganda.
Kufuatia hali hii, wahanga walikuwa wakiongezewa damu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.