miaka 50 ya uhuru msumbiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameipongeza Msumbiji kwa kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameipongeza Msumbiji kwa kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru. Pongezi hizo amezitoa kwenye hafla iliyoandaliwa na Ubalozi wa Msumbiji nchini Tanzania na kufanyika katika Ukumbi wa Polisi uliopo Masaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…