MJADALA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA,UTV
"Namuona Rais John Magufuli kama Mwalimu Julius Nyerere wa pili,kwa nini nasema hivi kwa sababu alikuwa na kila kitu alichokuwa nacho Mwalimu Julius Nyerere,alikuwa na uthubutu,Mimi mbele yangu nimeona akikataa hela za wenye hela zao akiwaambia sina...
DC MWENDA AWAFUNDA VIJANA JINSI MIAKA 60 YA UHURU UCHUMI WA TANZANIA ULIVYOBADIRIKA
Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Singida vijana wamefanya Kongamano Vijana na wametakiwa kuenzi miaka 60 ya uhuru wa Tanzania bara na miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanziba kwa kuangalia mabadiliko katika...
Mmojawapo ni huyu anayeitwa Rehema Mugogo , ambaye tayari ana tiketi mkononi ili kuwahi Kongano hilo lililo gumzo kote duniani , litakalofanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni nje ya Jiji la Dar es Salaam .
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: "UAMUZI WA BUSARA" KITABU KUADHIMISHA MIAKA 50 YA KURA TATU 1958
Utangulizi
Kitabu hicho hapo chini, "Uamuzi wa Busara," mwaka nilikiandika mwaka wa 2008 kwa shinikizo kutoka Abantu Publishers, Nairobi wakitaka pawepo kitabu kitakachokuwa kama rejea la...
ABUU KAUTHAR
Moja ya msingi mkuu wa demokrasia ni mamlaka kwa umma. Ina maana, mamlaka yapo kwa wananchi ambao wamekasimu madaraka kwa viongozi waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki ili kutenda kwa niaba yao.
Nchi ambazo mamlaka hayatoki kwa wananchi ikiwemo zile zinazoongozwa na...
Naandika haya nikiwa napita jirani kabisa na uwanja wa Uhuru (Uwanja wa Taifa), naona vikosi vya ulinzi na usalama vikijtaarisha kuanza mazoezi ya gwaride na mambo mengine, vijana wa halaiki nao hawajaachwa nyuma, naona kundi kubwa linaingia.
Ama kwa hakika kwa maataarisho haya, tutegemee...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: TUNAMUENZI JOHN GODFREY RUPIA (1904 - 1978)
Wajukuu ni watamu kuliko wana uliozaa mwenyewe.
Huwezi kujua ukweli wa maneno haya sharti upate mjukuu.
Wajukuu na wao wana mapenzi na babu na bibi zao kushinda wanavyowapenda baba na mama zao.
Nimemjua Joyce...
Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani.
Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja leo asubuhi hii vimemuidhinisha bwana Olaf Scholz kuwa kansela mpya na kuondpoa uhafidhina wa chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.