Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais, Samia Suluhu ameelekeza fedha zilizokuwa zimepangwa kugharamia maadhimisho ya Sherehe za Muungano mwaka huu, zitumike kukarabati miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini.
Ameyasema hayo, Jumatatu, Aprili 20...
- Waufukweni
- Thread
-
barabara
fedha
fedha za muungano
kukarabati
miaka 62 ya muungano wa tanzania
miundombinu
miundombinu ya barabara
muungano
mwigulu nchemba
- Replies: 6
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko