Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa, kulingana na uwekezaji wa 46% pato la taifa lilipaswa kukuwa kwa nusu yake ambayo ni 23% lakini uchumi umekua kwa wastani wa asilimia 5.7 tu.
Kwa miaka minne...
Kongamano la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limepinga vikali pendekezo la kuongeza muda wa Urais kutoka miaka 5 hadi 7 wakidai ni pendekezo la kibinafsi kutokana na tamaa ya viongozi wa kisiasa nchini humo Novemba 14, 2024
Seneta Samson Cherargei amefadhili Muswada wa Marekebisho ya Katiba...
Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
Huko nyuma kabla ya Jiwe JPM, kulikuwa na tabia mbaya ya kitapeli eti unamrusha darasa mwanafunzi. Unakuta mwanafunzi kasoma mpaka darasa la pili alafu unamrusha mpaka darasa la tano au yuko darasa la nne unamrusha darasa la sita.
Nashukuru JPM kwa kutengeneza mfumo ambao ukisajiliwa na mfumo...
Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda
Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema.
Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto.
Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la kuuwawa kwa mtoto wa miaka 7 mwanafunzi wa shule ya msingi Kibonde maji B, Mbagala na mwili wake kukutwa tarehe 13 Machi, 2024 kwenye msitu wa Jeshi karibu na Shule aliyokuwa anasoma.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es...
Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela Mwalimu Johnwell Mwamboya (38) mkazi wa Iyela jijini Mbeya baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa mtoto mwenye umri wa miaka saba.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Tedy Mlimba mbele ya...
Kutoka Morogoro, Viwanja vya Shule ya Moro Sec katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani, ITV imezungumza na Dk. Jerome Kamwela ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji TACAIDS anasema:
"Kama tumebakiza miaka 7 kutokomeza UKIMWI, maana yake kati ya leo mpaka 2030 miaka 7 tu imebaki, maana yake...
Reli ya kati DSM - Kigoma;
1254Km ilijengwa kwa miaka 7 (1905 - 1914) wakati teknolojia ikiwa duni.
TAZARA
1860Km ilijengwa kwa miaka 5 (1970-76).
Karne ya 21 Reli ya DSM - Moro, only 300Km inajengwa kwa miaka 7.
CnP
Mv Logos Hope ni meli ya vitabu yenye library kubwa yenye vitabu mbalimbali inayozunguka kwenye mataifa na bandari mbalimbali duniani.
Meli hii ya kihistoria ilijengwa mwaka 1973 huko Randsburg, kaskazini mwa Ujerumani kisha ikapita mikononi mwa kampuni tofauti mpaka 2004 ilipochukuliwa na...
Kwanza Kabisa natoa Shukrani kwa Rais Dkt Samia Hassan Suluhu Kufanya ReShuffling ya Mawaziri mbalimbali amefanya kitu ambacho Tanzania wengi walikuwa wanahitaji.
Moja ya Watu walioguswa na hii Reshuffling yumo Mheshimiwa Dr Damas Ndumbaro.
Tujikumbushe Mwaka 2014 akiwa Mwenyekiti wa Kamati...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Dar es Salaam, Ali Bananga amesema “Tupo na Rais Samia hadi Mwaka 2030, ukipenda ndio hivyo, kama hupendi ndio hivyo, maana yake tuna miaka 7 ya kuendelea kuufaidi ustaarabu wa mama yetu.
“Ni miaka 7 ya mafunzo kwa ajaye, tunaamini anayekuja ataendeleza...
Miaka saba tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipoagiza fomu ya Polisi namba tatu (PF3) kutolewa hospitalini na miaka miwili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mabadiliko ya utaratibu wa kudai fomu hiyo kabla ya tiba kutolewa, utekelezaji wa maagizo hayo umegubikwa na utata.
Agosti 22...
Wakili wa Kujitegemea Steven Mduma (38) amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia Mpenzi wake aitwae Jackline Mwanjimbe.
Hukumu hiyo imetolewa leo na Jaji John Nkwabi baada ya kupatikana...
Inatimia miaka saba leo Jumapili tangu tetemeko kubwa la pili la ardhi kuutikisa mkoa wa Kumamoto unaopatikana kusini magharibi mwa Japani.
Tetemeko hilo lililokuwa lenye kiwango kikubwa zaidi cha saba kwenye kipimo cha matetemeko nchini Japani lilitokea katika mji wa Mashiki Aprili 16 mnamo...
Mwanaume mmoja mwenye umri zaidi ya miaka 50 aliyejulikana kwa jina la Hakimu Juma, mkazi wa Chamwenda, Kata ya Nyansaka Wilayani Ilemela Jijini Mwanza amejikuta matatani baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kumbaka binti wa miaka saba mtoto wa jirani yake.
Inadaiwa kwamba mzee huyo amekuwa na...
Naishi naye huu mwaka wa 3 bila ya ndoa.
Hadithi yake ya nyuma ipo hivi
" Alioelewa akiwa na miaka 17 baada ya kupewa ujauzito na uyo jamaa na wakaishi wote miaka 8 kwenye ndoa na kuzaa watoto wawili.
Sababu ya kuachana uyo jamaa alianza kula madawa ya kulevya ndugu wakampeleka sober akarudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.