miaka 7

  1. Nakadori

    Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

    Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali. Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi...
  2. JanguKamaJangu

    Mbeya: Mahakama yavunja ndoa baada ya mke kutopewa unyumba kwa miaka 7

    Mahakama ya Mwanzo Mkoani Mbeya imevunja ndoa ya Upendo Charles (40) na Nelson Sospeter (54) baada ya mke kudai kutopatiwa unyumba na mume wake kwa muda wa miaka saba. Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Asha Njovu, amesema baada ya kusikiliza kwa kipa pande zote mbili Mahakama iligundua kuwa...
  3. BARD AI

    Aliyeghushi nyaraka za kesi ya ndoa afungwa miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kifungo cha miaka saba jela, Tuwaha Muze (44) baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili ambayo ni kughushi makubaliano ya uongo na kuwasilisha nyaraka za uongo za mwenendo wa kesi ya ndoa. Pia, mahakama hiyo imemhukumu Samson Tuwaha, kifungo...
  4. figganigga

    HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

    Salaam Wakuu, Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya...
  5. Maxence Melo

    Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Wakuu, Tunafarijika kuwafahamisha kuwa tumerejea hewani baada ya kupata mashambulizi ya makusudi yenye kulenga kuzuia upatikanaji wa huduma kwa watumiaji wa JamiiForums (DDOS Attack) kwa takribani masaa 7, kuanzia saa 7 mchana hadi saa 2 usiku. Mashambulizi haya yaliyolenga kuidhoofisha...
  6. Idugunde

    SIMIYU: Levinus Kidanabi Jela miaka saba na faini mil 15 kwa kumkashifu Rais Samia

    VIjana wawe makini na mgroup ya Watsapp === Bariadi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Sh15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  7. Teko Modise

    Kikwete bado ana ulinzi mkubwa licha ya kutoka madarakani miaka 7 iliyopita

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika mazoezi kijijini kwake Msoga jana wakati akiwa ametimiza miaka 72. Hapo pembeni akiwa na Shaffih Dauda waliobaki ni wana usalama. Imekuwaje miaka 7 baada ya kustaafu kwake, bado ulinzi wake ni mkubwa. Hakika JK ni hazina ya nchi hii.
  8. MANKA MUSA

    Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

    Akiwa kwenye mahojiano na kipindi maalum cha Clouds leo aliyekuwa Rais wa awamu ya Nne Jakaya Kikwete amesema kuwa mchakato uliokuwa mgumu zaidi kwake ni kuzuia uhuni wa kubadili muhula wa uongozi ndani ya CCM kutoka miaka mitano kuwa saba. Jakaya anasema mjadala ulipoletwa ulikuwa ni moto ila...
Back
Top Bottom