miaka minne ya samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia abubujikwa na machozi kwa salamu za kheri za Watanzania, aomba Umoja na Amani kwa Taifa

    Rais Samia kupitia mitandao yake ya kijamii, amewashukuru wananchi kwa salamu nyingi za kheri na upendo walizozitoa katika kumbukizi ya miaka minne ya Kiapo cha kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais. Rais Samia alieleza furaha yake kwa kuwaona Watanzania wakimtakia mafanikio na ustawi...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia

    Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Ibelamafipa iliyopo Kijiji cha Ilunde Halmashauri ya Mlele mkoani Katavi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…