PreGE2025 Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia

PreGE2025 Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Ibelamafipa iliyopo Kijiji cha Ilunde Halmashauri ya Mlele mkoani Katavi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika maadhimisho hayo Sungusungu wa Mlele wameonekana kuwa kivutio kikubwa wakati wa maandamano ambao walionesha hisia zao za shukrani kwa kuingia na nyimbo zao za asili.

 
Hii nchi ina watu wajinga wengi sana.

Hivi huko Mlele kwenyewe kuna kitu gani cha maana ambacho kimefanyika mpaka wanafika hatua ya kufanya mambo kama haya ya kupoteza muda?
 
Back
Top Bottom