Ndugu wana JF,
Ni ukweli usiofichika mpaka sasa CHADEMA imeshaingia kwenye mtego wa CCM na kazi nzuri iliyofanywa na watu ambao ni very smart na kwa uangalifu mkubwa ni kama imeshamalizika ikiwa na athari hasi kwa miaka mingi sana ijayo kwa CHADEMA na athari chanya kwa CCM.
Kete muhimu za...
Habarini,
Kwenye jamii imezoeleka kuwa mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume sahivi ni janga kubwa, miaka ya sasa changamoto kubwa ya kimalezi inakuwa ya wazazi kumchunga sana mtoto wa kiume kuliko wa kike.
Ila kuna ishu ambayo haisemwi sana ya usagaji (wadada kushiriki ngono wenyewe kwa wenyewe)...
Kuna watu wanapitia magumu sana. Sijui kwasababu ya kuishi kwa kuiga au kukosa maono.
Huyu maza nafanya naye kazi shirika moja la umma. Kabakisha muda mfupi kustaafu. One day nilimgusia suala la ukosefu wa ajira nchini na duniani ndipo akafunguka kuwa watoto wake kasomesha private both primary...
Mbowe kaahidi ataachia uongozi baada ya miaka mitano ifuatayo endapo atachaguliwa. Inafahamika ahadi ya kuachia uongozi alisha ifanya huko siku za nyuma; lakini kadri miaka ilivyo songa, matokeo ya uongozi wake yanazidi kufifia na kuonyesha dalili za kuwa anaifanyia kazi CCM zaidi kuliko kazi ya...
Kuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.?
Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama
Ana Nini Cha ziada huyu zero brain ambaye Hana hata shahada ??
Nina mashaka...
Nayasema haya kwa uchungu mkubwa
Damu za Watanzania zilizomwagika kuanzia
Chacha wangwe, Mwangosi, Akwilina, Ben Saanane, Alphonce Mawazo, Ali Kibao, risasi alizopigwa na kuumizwa Tundu Lissu huku ukijua kabisa Chadema sio chama Cha upinzani nakuhakikishia you will pay.
Kuharibu maisha ya...
Hii ni rank ya maraisi kutokana na ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja kipindi ambapo wameingia madarakani katika miaka yao mitano ya mwanzao, rank inaanza kwa mwenye pafomansi kubwa hadi mwenye ndogo (orodha hii imeondoa awamu ya kwanza na ya pili)
1. Rais Benjamin William Mkapa
Kati ya mwaka...
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amedai DP World kwa miezi mitano tangu ianze kazi imekusanya Bilioni 325. Hii ni sawa na Bilioni 65 kwa wastani wa kila mwezi mmoja.
Natuzingatie hii ni miezi yenye meli nyingi na mizigo mingi. Kwa mwaka wa 2019/2020 Serikali ilikusanya Bilioni 901 kwa mwaka...
Mwamanaume mmoja huko Ufaransa amefungwa miaka 20 kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mkewe na kualika wanaume wengine 50 kumbaka mkewe kwa muda wa miaka 10.
Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Dominique Pelicot alikuwa anambaka mkewe Giselle Pelicot (Mrs) baada ya kumpa dawa za usingizi kwa...
Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa.
Profesa Lipumba anaukwaa wadhifa huo, baada ya kupata kura 216 katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho...
Ajabu sana hii, Leo nimemwambia wakala amsajilie Line ya Vodacom Tanzania mzee wa miaka 77, wakala amepambana imeshindikana anasema voda hawaruhusu mtu wa miaka 75 na kuendelea kusajiliwa line..
Ina maana mna nini special sana nyie mpaka muweke limit ya mtu kumiliki simcard ya mtandao wenu...
Wengine hapa nchini hatuna majina lakini tuna macho ya rohoni (third eye) .
Tangu nipate akili timamu za kiutu uzima na kujitegemea Mimi sijawahi kuwa mdau wa CCM. Nina kadi ya CCM na CHADEMA ndani.
Ya CHADEMA niliikata mwenyewe 2015 na CCM nimeletewa tu mwaka huu. Kwa ufupi Mimi sina chama...
Wakati suala la ajira, kuboresha elimu, matumizi ya teknolojia vikitawala, vijana wametaka dira ya Taifa 2050 ipunguze umri wa watu kustaafu kwa lazima hadi kufikia miaka 55 kutoka 60.
Hayo yamesemwa leo Desemba 18, 2024 wakati vijana wakitoa maoni yao kwenye rasimu ya Dira ya Taifa 2050...
Kwanza kabisa poleni na pilika za mwisho wa mwaka, mambo yamekuwa mengi ajali, magonjwa na kila aina ya ubaya unaotulenga sisi binadamu.
Tuwe na mwisho mwema.
Hili suala la uhuru kiukweli mimi sioni kama ni uhuru wenye haki na kufuatwa kwa misingi ya katiba kama inavyoagiza.
Kama haitoshi...
Miji mingi mikubwa yenye watu wengi inasumbuliwa sana na hewa chafu. Mchafuzi wa kwanza akiwa ni magari. Moshi wa magari unachafua hewa ya miji ya nchi kama India hadi shule zinafungwa na watu wanashauriwa kukaa ndani. Miji ya China ilikuwa na hewa chafu hadi watu wanatembea na mask.
Leo miji...
Katibu Msaidizi Sekretarieti ya Maadili Kanda ya Kusini, Bw. Filotheus Manula amewaambia Viongozi wa Umma kuwa Maadili kwa kiongozi wa Umma hayapimwi kwa kiongozi kuwa masikini au tajiri, kwani kiongozi anaweza kuwa masikini na akawa hana Maadili na kiongozi anaweza kuwa tajiri na akawa na...
Mpo salama!
Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza.
Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.