miamala ya pesa

  1. Zeddy72

    Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    Habari zenu wakuu, Experts wa mambo naombeni ushauri hapa. Nina 30mill, niko interested na kufungua Phamarcy/uwakala wa miamala ya pesa (simu na bank). Je, biashara ipi itafaa na haitanihitaji mda wote eneo la kazi? Changamoto na faida zake. Asanteni.
Back
Top Bottom