Habari zenu wakuu,
Experts wa mambo naombeni ushauri hapa. Nina 30mill, niko interested na kufungua Phamarcy/uwakala wa miamala ya pesa (simu na bank).
Je, biashara ipi itafaa na haitanihitaji mda wote eneo la kazi?
Changamoto na faida zake.
Asanteni.