miamala ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    TCRA: Akaunti za Pesa Mtandao zafikia milioni 63.2. Miamala 3,737,202,434 yafanyika kwa mwaka 2024

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano iliyotolewa na TCRA, Desemba 2024, idadi ya akaunti za pesa mtandao ambazo zilitumika angalau mara moja katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita iliongezeka kutoka akaunti milioni 60.8 katika robo ya mwaka iliyoishia Septemba 2024 hadi milioni 63.2...
  2. Dr PL

    Hivi tozo kwenye miamala ya simu bado mpaka leo?

    Kuna kipindi walitangaza kwamba tozo kwenye miamala ya simu zimeondolewa. Pia nakumbuka mchanganuo wa matumizi ya hizo tozo ulitolewa ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, barabara nk. https://www.mawasiliano.go.tz/news/rais-samia-aridhia-kuondolewa-tozo-za-miamala-ya-simu...
  3. Analogia Malenga

    Benki Kuu ya Tanzania yatoa Taarifa kuhusu Wizi katika Sekta ya Benki, miamala ya simu yaongoza kwa wizi

    Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kwa benki zote na taasisi za kifedha kuhusu matukio ya wizi katika sekta ya benki. Kupitia barua yenye kumbukumbu FA.53/359/01/25 iliyotolewa tarehe 5 Machi 2024, Benki Kuu imeeleza kuwa inahitaji kila benki na taasisi ya kifedha kutoa taarifa kuhusu matukio...
  4. Z

    Hivi tozo kwenye miamala ya simu ziliondolewa au zilipunguzwa?

    Leo nimetoa hela kwa waakala wa M-Pesa kiasi cha 30,000, meseji inasoma hivi; "...... imethibitshwa tarehe 20/10/23 saa 9:52 AM Pokea kiasi cha Tsh 30,000.00 kutoka ....., jumla ya ada Tsh 2,201.00 (M pesa ada 1,850.00+tozo ya serikali Tsh 351.00).
  5. Roving Journalist

    Maoni ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kuhusu tozo za miamala ya simu

  6. Sildenafil Citrate

    Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, leo Julai 8, 2023 amesema kuwa tozo kwenye miamala ya kutoa pesa haijafutwa. "Tozo imefutwa kwenye utumaji ama usafirishaji wa fedha kupitia kwenye mifumo, ukituma wewe fedha kupitia kwenye simu yako kwenda kwenye simu nyingine, ile tozo tuliyokuwa...
  7. Suley2019

    Serikali yaridhia kufuta tozo kwenye miamala ya simu

    Naibu Waziri wa Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Injinia Kundo Mathew amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la Wizara hiyo chini ya Waziri Nape Moses Nnauye la kufuta tozo katika miamala ya simu. Naibu Waziri Kundo ameyasema haya leo July 04, 2023 akiwa katika ziara...
  8. J

    SoC03 Serikali iweke asilimia 20% kwenye vifurushi na miamala ya simu itakayokwenda kwa mteja

    Watu wengi wamekuwa wakilalamika sana kuhusu kuhusu ununuzi wa VIFURUSHI na makato kwenye miamala ya simu wakiona kuwa wanapata faida ndogo hususani kwenye VIFURUSHI ukilinganisha na gharama wanayotoa! Naishauri SERIKALI waweke ASILIMIA kwenye gharama anayotoa MTEJA Ili irudi kwa MTEJA kama...
  9. R

    Kwanini mtu alipie makato ya kuhamisha fedha wakati muamala umefeli?

    Unatuma pesa kwenda mtandao mwingine au benki halafu muamala unafeli, pesa uliyokua unatuma inarudishwa kwako, lakini tozo na makato kutoka mtandao wa simu hazirudishwi! Kwanini pesa ya makato ya mitandao ya simu pamoja na tozo hazirudishwi? Kwanini ukatwe tozo na makato kutoka mtandao wa simu...
  10. B

    Utapeli miamala ya simu: Usikubali malipo kwa simu toka kwa usiyemjua

    Huku tozo, kumbe kama vile haitoshi miamala nayo ni kwa risk zetu wenyewe? Jamaa yangu mmoja alikubali malipo kwa M-pesa. Muamala ukasoma safi, lakini baada ya muda mlipaji akauchukua kama alivyokuwa kautuma. Wizi na utapeli wa mchana kweupe! Kuwapata wenye mtandao wao, wakadai hii inawapata...
  11. BigTall

    Waziri Nape Nnauye: Miamala ya simu kutungiwa Sheria iwe 'Dhamana ya Mikopo Benki'

    Serikali imeeleza kuwa ongezeko la matumizi ya miamla ya fedha kwa njia ya simu imewapa wazo la kutunga sheria kutambua njia hizo zitambulike ikiwezekana kwa kuangalia uchumi wa mtu na itumike kama dhamana wakati wa kukopa benki. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape...
  12. Mayova

    Kuhusu line za uwakala wa miamala ya simu

    Naombeni uzoefu jamani..hizi laini za uwakala wa miamala ya simu unaweza kutumia muda gani kuipata baada ya kuwa umeshapeleka vile viambatanisho wanavyovitaka mfano leseni ya biashara, TIN namba na namba ya nida? .....Naomba kuwasilisha.
  13. Replica

    Tozo zatinga kwenye mabenki, kuanza kukusanywa Septemba 8, 2021

    Habari wakuu, Miamala yote ya fedha ya kibenki itayofanyika kupitia simu itaanza kukatwa tozo. Mathalan unataka kuhamisha fedha kutoka kwa Helena mwenye akaunti namba XX kwenda kwa Huruma mwenye Account namba XY na ukatumia simu kufanya mchakato huo utawajibika kuichangia Serikali katika ujenzi...
  14. T

    Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

    Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa. Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
  15. B

    Mwigulu na Uhalisia wa Miamala ya Simu

    Dkt. Mwigulu Nchemba amesikika hadharani akisema miamala ya simu haijaathirika na uwepo wa tozo mpya kwa jina la uzalendo: Hii si kweli na huu ni ushahidi ukiwahusisha mawakala na wenye mitandao: Achilia mbali kuwa wengi wetu tuliokuwa wateja wa shughuli hizi za miamala tumeachana nazo...
  16. Roving Journalist

    Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

    Wakuu, Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri ========== Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango =▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
  17. mshale21

    Serikali ya Tanzania yaipinga kesi ya miamala ya simu

    Dar es Salaam. Hatima ya shauri la kupinga tozo za miamala ya simu lililofunguliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) itajulikana Septemba 8 pale Mahakama Kuu itakapotoa uamuzi wa pingamizi la Serikali. Kituo hicho kilifungua shauri hilo Julai 27 Mahakama Mahakama Kuu dhidi ya...
  18. B

    Tozo Miamala ya Simu bado kimeumana

    Alisikika Mh. Rais kuwa tozo kwenye miamala ya simu zimeridhiwa na wananchi kwa maslahi yao. Mapema aliwahi kusikika Dkt. Mwigulu akisema tozo zenyewe ni ndogo tu. Bila shaka msomi huyu alisahau kuwa chochote cha zaidi kwenye nyingi zilizopo, hakuufanyi mzigo wa tozo zote kwa watu kuwa...
  19. K

    Tozo kupitia miamala ya simu ikiendelea itakuja kuigharimu Serikali ya CCM

    Wananchi wametoa malalamiko yao kwa Serikali lakini bado kimya, watu wengi wameacha biashara ya miamala ya simu na hii inapelekea familia zao kupata shida, hata malengo ya Serikali yaliyotarajiwa hayatafikiwa kwa sababu watu wengi wameacha kutumia huduma hii. Mfano mimi leo nimetuma Tshs.1m/=...
  20. VUTA-NKUVUTE

    Rais Samia, ulitaka wananchi tukataaje tozo za miamala ya simu?

    Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa, umenifikirisha na kunisikitisha sana. Nimekusikiliza na kukutazama kwenye mahojiano yako na mwandishi na mtangazaji nguli Salim Kikeke. Nimekufuatilia hadi nikalia ulipokuwa ukijibu maswali bila kujali athari. Juu ya tozo za miamala ya simu, nimekusikia na...
Back
Top Bottom