Hulka yetu watanzania tuliowengi hatupendi kulipa kodi kwa hiari ila ni wa kwanza kuilamu serikali pale inaposhindwa kuleta huduma za maendeleo.
Yaani tunafikiri pengine maendeleo yanakuja tu kama mvua ishukavyo kutoka mawinguni au labda kwamba nchi inaweza kujiendesha yenyewe pasipo watu...
Ni bora kupata 1% kutoka kwenye elfu moja kuliko kupata 50% kutoka kwenye 10 (hapo utaona kwenye 1% utapata 10 na kwenye percent 50% utapata 5.
Serikali imeamua kuongeza mapato kupitia miamala ya simu; unless otherwise sababu ni kuziua hizi kampuni za simu ili ushindani urudi kwenye mabenki...
Habari JF members,
Naomba turejee kauli ya Rais wetu Samia alipokuwa anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari alipoulizwa kuhusu katiba mpya na siasa za majukwaa. Simple tu alijibu dhamira yake kubwa ni kuifungua nchi kiuchumi japo katiba ni muhimu pia.
Lakini kwa hali ilivyo inaonekana...
Sijui ni kivipi mtu anapofika kwenye level fulani ya maisha hutaka kuilazimisha akili yake kuwa na wengine wote wako kama yeye
Badala ya kurudisha akili zake kule alikotoka ili ayapime maisha aliyopitia na hatimaye aone pia wale ambao bado wako huko wanapitia ugumu uleule aliowahi kuupitia yeye...
Sifa kubwa ya hili jipu ni kwamba lazima liende kuwa kansa, na sifa ya kansa sote tunaijua huwa inaua kidogokidogo tena kwa maumivu makali.
Lakini mbali na hili jipu kuwa kansa, likifanikiwa kupasukia humo ndani basi muhusika lazima apate kiharusi/stroke. Hivyo kumuweka muhusika katika hatari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.