miamala ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

    Nimeshangaa na kufadhaishwa sana naa kauli ya raisi kuwa eti watanzania hawajakataa tozo na wapo tayari kuchangia hizo tozo ila tu zipunguzwe. Hii kauli imenifanya nijiulize sana kuwa either amechoka kuongoza au hajui afanye nini. Watanzania gani hao wanaokubali tozo hizi? Mmekaa wenyewe...
  2. Serikali inawahamisha wananchi wasahau na wasiongelee tena TOZO ya miamala ya simu. Wananchi tuendelee kuwalaani viongozi wetu waliotuletea huu wizi.

    Huo hapo juu ni wizi na hujuma za waziwazi tunaofanyiwa na serikali yetu. Cost of living imekuwa kubwa, uchumi wetu wa kusuasia unazidi kuwa hoi hasa wazazi na ndugu zetu wanaotegemea mpesa, tigopesa, airtel money kufanyiwa miamala yao. Fikiria ndani ya ada za miamala kuna 18% kodi inayoenda...
  3. Hakuna Mtanzania atakayempigia kura ya ndio kiongozi aliyemletea tozo za miamala ya simu

    Habari, Endapo uchaguzi mkuu utafanyika leo au hiyo 2025, hakuna Mtanzania (ukiondoa tabaka tawala) atampigia kura kiongozi ambaye amemletea tozo za hovyo za miamala ya simu kienyeji. Muamala ambao mtu alikatwa shilingi 2700 sasa anakatwa karibu elfu tano nzima. Mtanzania wa chini alikuwa...
  4. Charles Odero, afungua kesi Katika Mahakama Kuu kupinga tozo za Miamala ya Simu

    Wanaukumbi. Mwanaharakati wa Masuala ya Haki za Binadamu, Charles Odero, amefungua kesi Katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga tozo za Miamala ya Simu iliyoanza Julai Mosi. Kesi hiyo itaanza Alhamisi,Agosti 12. Hawa ndiyo...
  5. Kodi ya miamala ya simu ni mbinu mpya ya upigaji?

    Ni wiki chache tu tangu serikali ianzishe kodi ya miamala ya simu kwa madai kwamba mapato yatakayotokana na tozo hizo yataenda kufungua barabara za mjini na vijijini. Lakini juzi, waziri huyo huyo aliyetuaminisha kwamba barabara zitajengwa kwa kodi inayotokana na tozo ya miamala ya simu...
  6. Ukweli uliojificha: Tozo za miamala ya simu ndiyo jawabu la kilio cha Mabenki nchini

    Haya malalamishi yamekuwapo siku nyingi sana toka kwa Mabenki kuhusiana na Kampuni za mawasiliano kufanya kazi kama Benki za Akiba yaani zaidi ya Mobile Transfers (Mfano Moneygram, Western Union, n.k) pia watu wengi sana wamekuwa wakihifadhi pesa kwenye akaunti zao za huduma za kifedha kwenye...
  7. Rais Samia Suluhu awaapisha Mabalozi Ikulu. Asema Tozo za Miamala zitaendelea ila zitarekebishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan awaapisha Mabalozi 13, Ikulu Dar es Salaam ========== Anaeongea kwa sasa ni waziri wa mambo ya nje, balozi Mulamula ambae anamshukuru kwa Imani kubwa ambayo amewekeza kwao na wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki...
  8. K

    Kampuni za Simu zaipongeza Serikali kufikiria upya uamuzi tozo za miamala ya simu

    Watoa huduma za simu nchini wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa Serikali katika kuangalia upya kodi za miamala ya simu iliyotokana na sheria mpya ya fedha kwa mwaka 2021/22, huku wakisisitiza kuwa uamuzi huo utaongeza chachu katika uwekezaji ndani ya sekita hiyo. Hayo yalibainishwa jijini...
  9. A

    Makato ya miamala ya simu

    MAKATO YA MIAMALA YA SIMU Kwa kipindi cha hivi karibuni suala la makato ya simu limekua gumzo nchini na kuibua sitofaham na kauli za utata kutoka kwa baadhi ya viongozi, huenda walioanzisha tozo hizo hawakua na lengo baya ila naweza sema kwamba hawakufanya upembenuzi yakinifu pamoja na...
  10. Ikiwa makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki hayatabadilika nini kifanyike?

    Jambo wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Ni ukweli usiopingika kwamba makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki yanawaumiza kichwa wananchi wanyonge, hasa ukizingatia kwamba watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha kama Rais, Makmu wa Rais, Waziri...
  11. Kupandisha bei za mafuta na miamala ya simu kwa wakati mmoja ni kumchonganisha Rais na Wananchi wake

    Inafahamika wazi kuwa kama utapandisha bei ya mafuta utapandisha pia bei zote za vitu vyote kwa wakati mmoja, na gharama yote itakwenda kwa mwananchi wa kawaida anaetumia huduma. Wananchi wa vijijini wanategemea watoto na ndugu zao walioko mijini (machinga) kutumiwa pesa kwa simu ili waweze...
  12. Ummy Mwalimu: Wizara ya TAMISEMI itanufaika na tozo za miamala ya simu

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi sasa kuna uhaba wa madarasa 100,005 kwenye shule za msingi na sekondari nchini. My Take: Nakumbuka...
  13. Fanya hivi kunufaika na ongezeko la tozo katika miamala ya simu (M-Pesa, Tigo Pesa, Halo Pesa)

    Ni matumaini yangu mu buheri wa afya, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. kwa kuwa kam tujuavyo kumekua na kilio kikubwa kutoka kila kona nchini kutokana na ongezeko la gharama za kutuma na kutoa pesa kupitia simu zetu (Mobile Money Transactions). Nikiwa ni muhanga...
  14. Je, tozo za miamala ya simu ni matokeo ya wabunge wa CCM waliopelekwa Bungeni kinguvu?

    Tuna wabunge dhaifu na wengi wasiojielewa hawa wa CCM waliopita bila kupingwa na kulindwa na Mamlaka. Bungeni hawana uwezo wa kujenga hoja na wala hawana uelewa wa mambo ya Uchumi na Maendeleo. Tuna wabunge wapiga meza na makofi Bungeni, Hawaelewi ipi ni "a" ndogo na ipi ni "A" kubwa. Wabunge...
  15. UVCCM Shinyanga: Rais Samia angalia upya suala la tozo za miamala ya simu kwa maslahi ya wananchi wa hali ya chini

    Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira. Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
  16. SoC01 Serikali itumie wafungwa kama chanzo cha mapato. Iondoe Kodi inayokata kwenye Miamala ya Simu

    Wafungwa ni watu wanaotumikia vifungo mbali mbali katika magereza zilizopo nchini Tanzania kote. Wafungwa hawa wana ujuzi tofauti tofauti kwa kusomea ama kwa kujifunza mtaani, wengine ni engineers, nurses, wahasibu, doctors, mafundi kama fundi bomba, fundi nyumba, fundi kupaua, na wengine wana...
  17. SoC01 Kupanda kwa Bei za Miamala ya Mitandao ya Simu ni "BANK ECONOMIC STRATEGIES"

    Nawasalimia kwa Jina La JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Kabla ya yote mimi si Mjuzi sana wa mambo ya Uchumi au siasa ya uchumi ila kwa kuwa nimepata ushauri kwa wasomi wa uchumi na mambo haya ya siasa ya uchumi ningependa niwamegee kidogo kuhusu mambo nikiyoelekezwa kuhusu Trending marks...
  18. Mgomo Baridi kuhusu kutumia miamala ya simu. Huko mtaani kwenu hali ikoje?

    Wakuu Kwema! Hapa mtaani kwetu kumekuwa na kamgomo baridi kuhusu utumiaji wa mihamala ya simu. Watu wamegoma kutuma wala kutoa pesa kupitia mihamala kwenye simu. Madai makuu ni kusema makato ni makubwa Sana. Je, huko mtaani kwenu Hali ikoje?
  19. T

    Ujio wa pesa za kwenye simu uliambatana na habari ya "financial inclusion"

    Falsafa haswa ya kodi ni kwamba mwenye pato achangie gharama za uendeshaji wa serikali. Asiye na pato hatakiwi kuchangia. Kwa hiyo kodi sahihi haswa ni ile inayotozwa kwenye kipato. Mfano PAYE kwenye pato la mshahara. Kodi ya mapato - kwenye pato la biashara. VAT kwenye mauzo ya bidhaa na...
  20. B

    Tozo za miamala ya simu ni kikwazo kwa biashara ndogo

    Kama kuna mahali serikali hii imekosea ni kuhusu hii tozo ya miamala ya simu, madhara yake yatakuwa makubwa sana kwa biashara za watu wa chini. Wafanyabiashara wadogo wengi hawatumii bank kufanya manunuzi na malipo mbalimbali. Tozo iliyowekwa ni kubwa kuliko faida tarajiwa katika muamala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…