Sifa kubwa ya hili jipu ni kwamba lazima liende kuwa kansa, na sifa ya kansa sote tunaijua huwa inaua kidogokidogo tena kwa maumivu makali.
Lakini mbali na hili jipu kuwa kansa, likifanikiwa kupasukia humo ndani basi muhusika lazima apate kiharusi/stroke. Hivyo kumuweka muhusika katika hatari...