Kuna kipindi walitangaza kwamba tozo kwenye miamala ya simu zimeondolewa.
Pia nakumbuka mchanganuo wa matumizi ya hizo tozo ulitolewa ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, barabara nk.
https://www.mawasiliano.go.tz/news/rais-samia-aridhia-kuondolewa-tozo-za-miamala-ya-simu...
Nilichoona na kuamua kuzinduka ni kwamba ukiwa na hoja yoyote kwenda popote basi taarifa inafika vizuri, haraka na kwa uzito kupitia Jamiiforums kuliko njia zingine za kiprotokali zinazowekwa na wahusika
Leo naomba NMB wachuje ushauri huu
1. Mtu akifanya miamala kwa nmb mkononi huwa mnatoa...
Aslaam,
Wakuu hivi hakuna app, au siwezi kupata application ambayo itanifanya kufuatilia biashara yangu ya MIAMALA?
Nawaza kufanya biashara ya uwakala wa pesa kupitia laini za simu na bank, lakini nataka nimtumie kijana wakati mi mwenyewe nikiwa kwenye shughuli zingine za kujiongezea kipato...
Dar es Salaam,
Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa biashara Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa...
Wahi offer
Laini za wakala zimebaki mbili ni full documented na tunaandikishana, ikiwezekana twende kuchange usajili
Imebaki Halo pesa na Airtel money,
Zote nataka 90K
Karibu Dm
Happy Saturday viongozi,
Kwanza tuweke swala moja bayana hali ni ngumuuu, aisee maisha ni tight naona sio kwa muajiriwa au mfanya biashara ila nisiongelee wengine sema kwa cycle yangu kila mtu analia noki nimegundua nina cycle ya ajabu ata nikitaka laki 5 ya chap sina wa kuniazima dah.
Twende...
Tendo la Kutoa sadaka limefungamanishwa katika Kila selihai ya mwanadamu bila kujali anamuamini au haamini Mungu.
Watu wote hutoa sadaka. Tofauti ni mahali wanapotoa na Nia nyuma ya utoaji huo.
Ukifuatilia historian ya utoaji sadaka sadaka inayozolewa moja kwa moja kama vitu au huduma...
Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto.
Yani hapa nimlipe Mfanyakazi, nilipe pango, nilipe TRA n.k
Aisee! Hii nchi kila mtu anajiamulia atakacho...
Wanigeria wengi wamelaani kuanzishwa kwa ushuru mpya kwa miamala ya kielektroniki ya benki na simu huku wengine wakisema kuwa itawarudisha nyuma na kuanza kutumia pesa taslimu.
Benki Kuu ya Nigeria (CBN) imeziagiza taasisi za fedha kwamba ushuru wa 0.5% unaokusudiwa kuongeza pesa ili kuimarisha...
SALAM MKUU.
Boss wa Lipa namba ya mtandao wa Vodacom 5757565 ARVINDER HAZARA CHANNA.
Tarehe 28 mwezi wa Jana yaani mwezi wa 3 ulipokea pesa kimakosa kutoka kwenye namba ya mtandao wa Tigo 0712**5408 Jina lilikuja ni Farida Hilary.
Nimetoa taarifa katika Mitandao yote Tigo na Vodacom lakini...
Ni kosa kisheria kuwa na miamala ya fedha isiyokuwa na maelezo kuwa imetoka kwa nani, na kwa ajili gani imekuja kwako, hakikisha kila hela unayopata unajua vizuri chanzo chake na pia kuweka kumbukumbu sawa umepokea kwa ajili ya nini?, kama ni kazi umefanya au biashara hakikisha kodi stahiki...
Jana nimemaliza tu kuwasiliana na mtu kwa njia ya simu ya sauti na kunisisitiza pesa nimuwekee kwenye namba yake ya airtel. Nakata simu dakika moja mbele napokea hii text.
Hii inaweza kuwa ni bahati mbaya kweli au hawa matapeli wana-pata mawasiliano yetu.
Nimeangalia data kutoka TRA kujua tumekusanya shilingi ngapi tangu serikali iweke tozo kwenye miamala ya simu, hadi sasa tumeshakusanya Tsh Bilioni 362.1281, hii ni kuanzia zilipoanzisha hadi robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/24
Ukiangalia takwimu hizo kuanzia Juni 2022 makusanyo yalipungua...
Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli/ Kuwaibia wafanyabiashara za miamala ya kifedha kama M-PESA, TigoPesa, Halopesa, Airtel Money nk.
Naanza:
Tapeli anakuja jioni anatoa Kaisi kikubwa Cha hela anaondoka, lengo ni ili awe na uhakika wa cashes ulizonazo. Kisha baada ya dakika chache...
Mtandao ya simu imerahisisha huduma ya kulipa vitu mbalimbali ikiwemo malipo ya serikali na biashara binafsi. Ni kawaida kwa sasa kukuta biashara ina LIPA NAMBA ambapo mtu anaweza kulipa kwa namba hiyo.
Hata hivyo katika kutumia lipa namba, kuna gharama ambayo mteja anakatwa, lakini gharama...
Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana.
Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno nyie wachezaji kwa mlichokifanya.
Halafu kabla GENTAMYCINE sijaja na Exclusives zingine Kubwa Mbili...
Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
Mdau mmoja katika mitandao ya kijamii ameshauri ukitaka kujua mke wako, au mwanamke wako anachepuka basi husiangaike na meseji za Whatsapp au meseji za kawaida. Maana uwa zinafutwa, mara baada ya kumaliza mazungumzo.
Hata hivyo hakuishia hapo, akatoa suluhu za njia mbadala ya kugundua mke wako...
Leo nimetoa hela kwa waakala wa M-Pesa kiasi cha 30,000, meseji inasoma hivi;
"...... imethibitshwa tarehe 20/10/23 saa 9:52 AM Pokea kiasi cha Tsh 30,000.00 kutoka .....,
jumla ya ada Tsh 2,201.00 (M pesa ada 1,850.00+tozo ya serikali Tsh 351.00).