Wakuu leo asubuhi nilikuwa na hamu na zaga sasa nikamcheki mtoto akasema jioni jioni atakuja.
Si ndio kuja kuingia JF kukutana na mastori ya town eti Kodi ya uzalendo aisee roho ikapasuka nahisi nimepata pressure ya kushuka lengo lao sio zuri hakuna Tena matumaini.
Biashara zitazidi kuyumba...
Hii leo, Julai 15 2021 gharama ya miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu nchini Tanzania imepanda baada ya serikali kupandisha tozo ya miamala hiyo.
Sintofahamu kubwa inashuhudiwa hii leo kwa wananchi wa Tanzania ambao wengi wao ni watumiaji wakubwa wa huduma hiyo.
Hali hii imepelekea...
Hulka yetu watanzania tuliowengi hatupendi kulipa kodi kwa hiari ila ni wa kwanza kuilamu serikali pale inaposhindwa kuleta huduma za maendeleo.
Yaani tunafikiri pengine maendeleo yanakuja tu kama mvua ishukavyo kutoka mawinguni au labda kwamba nchi inaweza kujiendesha yenyewe pasipo watu...
Mapema wiki hii kodi mpya za miamala zimetoka ambapo baadhi ya wananchi tunalalamika zinatunyonya lakin pengine nahisi kuna mchezo tunachezewa.
Ukiangalia muda ambao suala limepitishwa ni kipindi ambacho vyama vya upinzani vinadai Katiba Mpya ambapo Rais akasema wamuache kwanza apambane na...
Nafikiri Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Lameck Nchemba na wataalamu wenzake wameshindwa kufanya utafiti makini kujua sababu kuu ya Benki kuanguka huku soko la miamala ya mtandaoni likiimarika kwa kiwango kizuri. Wao kwa uelewa wao wameaminishwa kwamba miamala ya kibenki imepungua kwakuwa tozo za...
Sijui ni kivipi mtu anapofika kwenye level fulani ya maisha hutaka kuilazimisha akili yake kuwa na wengine wote wako kama yeye
Badala ya kurudisha akili zake kule alikotoka ili ayapime maisha aliyopitia na hatimaye aone pia wale ambao bado wako huko wanapitia ugumu uleule aliowahi kuupitia yeye...
Watanzania nawasalimu,
Nimejaribu kuwaza ni wapi tunakoelekea nimekosa majibu. Viongozi wetu na watanzania wote ni mashuhuda kuwa tumeambiwa kuwa kuhusu nyongeza ya mishahara tusubiri uchumi uimarike kidogo.
Lakini Leo hii huyu huyu mtu anaeomba kuongezewa mshahara kutokana na kuongezeka kwa...
Sasa ni wakati wa benki kujitanua zaidi na kila mmoja ajitahidi kuwa na akaunti ya benki, japo na wao wana makato Ila haya ya simu ni makubwa mno, yaani kusafirisha milioni wanakata 31,000 kutuma na kutoa.
Sasa nitahamia Benki, au nitasafirisha pesa kwa Gari yaani basi, pia tujitahidi kujiunga...
Maisha yamebadilika sana, Leo Tanzania program ya whatsapp inakuwezesha kutuma na kupokea pesa
I & M Bank(T) , Hii imekuwa Bank ya kwanza kuwawezesha wateja wake Tanzania kutumia WhatsApp kutuma na kupokea pesa, Kulipia bili za maji na umeme
Rais Samia Suluhu Hassan akihubiri kuhusu pesa za...
Mtu unaamka unataka kununua umeme au maji kwa kupitia mtandao wa Airtel au VodaCom. Unafanya manunuzi unaambiwa muhamala haujafanikiwa lakini pesa wanakata. Halafu ukiwapigia simu huduma kwa wateja wanasema watarudisha muhamala huo ndani ya masaa 96 ya kazi yaani siku nne.
Kipindi cha nyuma...
Nawasalimu kwa salamu ya mama.
Pamoja na nia nzuri ya kugharamia afya ila kiukweli kodi kwenye huduma za Simu ikiwemo miamala ya fedha siungi mkono inalenga kutuumiza.
Mbona kuna vyanzo vingi hasa kwenye Vinywaji laini na vikali, kodi kwenye wapangishaji wa nyumba kubishana nk?
Hapo...
Niwieni Radhi, mada ni:
Kuna haja ya katiba ya JMT kujumuishwa mwenye mitaala ya elimu nchini.
Nawasilisha.
Nimeona mijadala mingi kuhusu katiba ya nchi yetu ila cha kustaajabisha ni kwamba wananchi wengi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hawaijui katiba yao na wengine ata kuwa nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.