Siku chache zilizopita limekuwa na sintofahamu juu ya mabadiliko ya viwango vya miamala katika mitandao yote nchini, kupanda kwa miamala ya kutuma hela na kutoa hela Jambo ambalo linaendelea kupamba Moto kwani kila mtumiaji wa simu Jambo hili linampa kigugumizi hasa katika njia au kipengele Cha...
Wakati mnalalamika na tozo mpya katika MIAMALA ya simu, Dk. Faustine Ndugulile anatuletea kitu kinaitwa "AIRTIME LEVY".
So far inaonekana Mitandao ya mawasiliano ndo Sekta iliyokuwa kwa aharaka sana na imechangamka. Imeonekana ndo sehemu sasa ya kukamua fedha kwa Mgongo wa neno "Tozo'...
Nawasalimia kwa Jina La JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Kabla ya yote mimi si Mjuzi sana wa mambo ya Uchumi au siasa ya uchumi ila kwa kuwa nimepata ushauri kwa wasomi wa uchumi na mambo haya ya siasa ya uchumi ningependa niwamegee kidogo kuhusu mambo nikiyoelekezwa kuhusu Trending marks...
Wabunge ni wawakilishi wetu. Tumewapeleka wakaisimamie serikali kwa niaba yetu. Kama wawakilishi wetu wamekubali maana yake tunaowakilishwa tumekubali.
Kama hawa wawakilishi wameenda kukubali kitu ambacho hatujawatuma, tuwalalamikie wao na kuwawajibisha na si serikali. Zaidi ya hapo tutulie.
Kwanza Salamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Rais ukiona asilimia kubwa ya wananchi wanapiga kelele kwa jambo la msingi uelewe kuwa kuna jambo linalohitaji kufuatiliwa.
Suala la tozo kwenye miamala za simu limekuwa kubwa na unatakiwa ulitolee/ulichukulie uamuzi wa haraka...
Wakuu Kwema!
Hapa mtaani kwetu kumekuwa na kamgomo baridi kuhusu utumiaji wa mihamala ya simu.
Watu wamegoma kutuma wala kutoa pesa kupitia mihamala kwenye simu.
Madai makuu ni kusema makato ni makubwa Sana.
Je, huko mtaani kwenu Hali ikoje?
Kundi hili limekuwa likitoa matamko mbalimbali yahusuyo siasa na mengine yanayotokea Bongoland. Sasa hivi issue inayotrend ni makato ya gharama za kutuma na kutoa fedha kwenye mitandao mbalimbali ya simu.
Wajitokeze ili wapongeze au kuponda makato haya kama ambavyo wanafanya kwa mambo mengine!
Toa 100000 kwa tozo ya shilingi 10000.. bonyeza
1.kuthibitisha
2.kusitisha
3.Lia.
Ikibidi namba nne watuwekee
4.fumba macho kuthibitisha
5.tuma na yakutolea au tukate juu kwa juu.😂
Tangu kuanza kwa huduma za kutuma na kupokea fedha kwa njia za simu za mkononi huduma hizi zimekuwa maarufu sana na kuchangia kurahisisha maisha ya watu hasa wale wa kipato cha chini tangu kuzinduliwa kwake mwaka 2008 ambapo M-pesa ilizinduliwa rasmi. kupitia huduma hizi mwananchi anaweza...
MAKATO YA MIAMALA YAPO POA! YANALANDANA NA UCHUMI WETU WA KATI
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Nimefurahishwa na mambo yaendavyo, mwaka Jana tulipigiwa mbiu kuwa tumeingia uchumi wa Kati. Watu walifurahia hasa wenye mrengo wa kuishabikia CCM na Wanachama wa CCM pamoja na Watanzania WA kipato cha...
Je, wajua Ukiwa mtu mwenye HALI ya chini hasa unayetumatuma kati ya 5000/= mpaka 100,000/= , ndo unaathirika zaidi na hizo tozo kuliko mtu mwenye HELA!... (Tazama Jedwali hapo chini!)
Kwanini?:
Msitizame TOZO tizameni %ge ya tozo! . Yaani ukituma Elfu hamsini kijijini mara kumi ikafika...
Jamii zetu zinaishi kwa kutegemeana, familia ndiyo safety net ukipata matatizo. Hatuna desturi ya kutemea ustawi wa jamii tukipata matatizo. Mama mdogo akiwa mgonjwa, familia itatoa msaada wa hali na mali.
Simu zimerahisisha mawasiliano. Leo hii uko Bukoba utatuma pesa ya MRI scan kwa ndugu...
“Akufukuzaye hakwambii toka”, ni msemo wa kiswahili wenye maana kuwa ujumbe unaweza kuwasilishwa kwa njia moja ukimaanisha kitu kingine tofauti. Mfano ukienda kumtembelea rafiki yako akakulaza sebureni na vyumba vipo wazi, utaonekana mwenye busara asubuhi ukiaga vizuri na ukarudi kwako.
Sababu...
Kama serikali imeona umuhimu wa kuwalipisha kodi watanzania wanaoishi nje lakini hutuma pesa nyumbani kwa kwa ndogu zao, basi wakati umefika kwa serikali hiyo kutambua kuwa watanzania hao si adui hata kama wamshachukua uraia wa huko wanakosihi. serikali hii itumie busara hiyo kuwatambuakuwa ni...
Falsafa haswa ya kodi ni kwamba mwenye pato achangie gharama za uendeshaji wa serikali.
Asiye na pato hatakiwi kuchangia.
Kwa hiyo kodi sahihi haswa ni ile inayotozwa kwenye kipato.
Mfano PAYE kwenye pato la mshahara.
Kodi ya mapato - kwenye pato la biashara.
VAT kwenye mauzo ya bidhaa na...
Kama kuna mahali serikali hii imekosea ni kuhusu hii tozo ya miamala ya simu, madhara yake yatakuwa makubwa sana kwa biashara za watu wa chini. Wafanyabiashara wadogo wengi hawatumii bank kufanya manunuzi na malipo mbalimbali.
Tozo iliyowekwa ni kubwa kuliko faida tarajiwa katika muamala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.