miamala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Mwigulu: Tozo za miamala zipo kisheria, Waziri hawezi kuzifuta

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba tozo za miamala na muda wa hewani zimepitishwa na bunge hivyo yeye kama waziri hawezi kuziondoa ila anaweza kuangalia kanuni kujua namna ya kurekebisha Amesema hayo alipohojiwa na BBC Swahili ambapo amesema kwa sasa wananchi wanatakiwa...
  2. L

    Mwigulu apongezwa Iramba, achinjiwa maksai Mwekundu, licha la kulalamikiwa miamala!

    Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule. Pamoja na kukwepa kugusia mambo ya kodi ya miamala lakini agenda kubwa ilikuwa ni kujiimarisha jimboni...
  3. Ndokeji

    Serikali angalieni suala la Tanesco, maji , miamala na vifurushi vya simu

    TANESCO hili shirika limekuwa likilalamikiwa na watu katika changamoto mbalimbali 1) Kufunga nguzo Bila kuunganisha 2) Rushwa kwa surveyor ili watembelee eneo husika 3)USambazaji wa Nguzo umeanza kudolola 4)Customer care Mbovu mfano mzuri Nyakato Mwanza wanamajibu ya ovyo kweli kuanzia Manager...
  4. Shujaa Mwendazake

    Ummy Mwalimu: Wizara ya TAMISEMI itanufaika na tozo za miamala ya simu

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi sasa kuna uhaba wa madarasa 100,005 kwenye shule za msingi na sekondari nchini. My Take: Nakumbuka...
  5. Ngomamalick

    SoC01 Ushauri kwa Serikali kuhusu jinsi ya kukabiliana na tozo kubwa za miamala

    Ushauri wangu kwa Serikali kukabiliana na tozo la kodi kuwa kubwa na makato kwa wananchi na kutotegemea kwenye miamala ya fedha tu Serikali ingetazama namna ya kuwaokoa wananchi kwenye wimbi hili Ili pia kuongeza mapato na kuacha kutegemea sehemu moja kwenye ukusanyaji wa kodi Kwa kufanya...
  6. R

    SoC01 Athari zinazoweza kujitokeza kutokana na tozo mpya katika miamala ya fedha kwa njia ya simu kwa uchumi wa nchi yetu

    UTANGULIZI Hivi karibuni tumeshuhudia Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania likifanya mabadiliko ya sheria ya fedha, (The Finance Act) na kuongeza kifungu namba 46A, kifungu kidogo(1) kinachosema kwa tafsiri isiyo rasmi; “Kutakuwa na tozo zitakazokatwa kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu...
  7. L

    Dr. Mwigulu apongezwa Iramba licha ya kulalamikiwa kuhusu kodi za miamala!

    Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule. Pamoja na kukwepa kugusia mambo ya kodi ya miamala lakini agenda kubwa ilikuwa ni kujiimarisha jimboni...
  8. N

    Ilikuwa mafuta, ikawa miamala na sasa baada ya siku 5 itakuwa kilio cha nyongeza kiduchu ya mishahara

    Tarehe 24 Julai, 2021 watumishi wa umma na hata wafanyakazi wa sekta binafsi wataenda kushuhudia hilo punguzo la asimilia 01% ya kodi kwenye mishahara yao itawaongezea kiasi gani cha kipato cha mwezi kwa ajili ya kutumia kwa miezi 12 ijayo. Waziri Mwigulu kwa niaba ya Rais amesema Serikali...
  9. Sky Eclat

    Maisha yalivyokua kabla ya Miamala

    Miaka ile ilikua ni habari za mdomo tu, unafahamishwa wafanya biashara wenye huduma ya kutuma pesa. Wengi walikua Kariakoo. Walifanya huduma hii katika mikoa yenye biashara zao. Ukifika pale unatoa maelekezo ya ndugu yako aliye Arusha, jina lake na namba yake ya simu. Wanaandika katika...
  10. MC RAS PAROKO

    Fanya hivi kunufaika na ongezeko la tozo katika miamala ya simu (M-Pesa, Tigo Pesa, Halo Pesa)

    Ni matumaini yangu mu buheri wa afya, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. kwa kuwa kam tujuavyo kumekua na kilio kikubwa kutoka kila kona nchini kutokana na ongezeko la gharama za kutuma na kutoa pesa kupitia simu zetu (Mobile Money Transactions). Nikiwa ni muhanga...
  11. J

    Waziri Mwigullu tuondolee hiyo kodi ya kizalendo kwenye Sadaka za Bwana siku za Dominica kwa njia ya miamala!

    Nakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba. Kwa kifupi sana: Naomba uitazame upya hii kodi ya kizalendo kwenye Sadaka zetu tunazomtolea Mungu mwenyezi kwa njia ya miamala ya simu hasa siku za Jumapili na kwenye mikutano ya Injili. Nawatakia Dominica yenye baraka!
  12. K

    Bibi anasema "Tusiilaumu serikali kwa tozo mpya, bali tubadili mfumo wa kuhifadhi na kutumiana pesa"

    Nimefuatilia mijadala mbali mbali kuhusu ongezeko la gharama na tozo mpya za miamala ya kifedha kwa upande huduma wa mitandao ya simu za mkononi. Mjadala umekuwa mkubwa sana kwenye mitandao mbalimbali. Wananchi wanalalamikia ongezeko la tozo hizi huku kiasi kikubwa cha makato (tozo) hizo...
  13. Joshua Deus

    Makato miamala ya fedha mitandao simu yazua vilio

    Na Joshua Deus Wahenga wanasema usipo Jenga ufa uatajenga ukuta,sekta ya Mawasiliano ni moja wapo ya sekta ambazo zinaingiza Pato la taifa nchini,Tanzania ili kukuza Pato la taifa inahitaji jitihada kubwa. Miongoni ni changamoto ambazo Zina changia kuporomoka kwa sekta ya Mawasiliano...
  14. Boligado

    Serikali ibadili tozo za miamala kuwa walau Tshs. 500 kwa muamala

    Tozo iwe tsh 500 kwa kila muamala itafikia lengo la makusanyo ya 1.254tr. (Bajeti ya serikali 2021/22) mapato yanayotegemewa kupatikana na tozo ya miamala.Kutegemea na idadi ya miamala iliyokuwa inafanyika kwa siku. ( Makampuni ya simu wanajua data hii) Inaelekea data ambazo makampuni walizotoa...
  15. Parody

    Msimlaumu sana Mwigulu, pengine anafuata tu maelekezo

    Wakuu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Nimepita mitandaoni, nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Mwigulu kuhusu tozo ya miamala. Naunga mkono mashambulizi, lakini nadhani tunakosea tunayemwelekezea mashambulizi hayo. Wanasema kila zama na kitabu chake. Wakati wa enzi za Mwendazake, taifa...
  16. I

    SoC01 Tozo ya miamala ya simu: Uwanja umeinama, Tuangazie Kilimo kitatukomboa

    Na ,Ibrahim Rojala Kuanzia Julai 15 ya mwaka huu wanaotuma fedha kwa wakala wa simu za mikononi walianza kulipa kodi ya uzalendo ambayo waziri wa fedha Dkt.Mwigulu Nchemba aliielezea kuwa ni muhimu kulipwa. Kupitia makato mapya ya miamala ya simu kiasi cha chini cha kodi ya uzalendo ni...
  17. Hivi punde

    Miamala ya Pesa: Benki ni njia sahihi, salama na nafuu zaidi

    Kufanya miamala kwa kutumia M-PESA , Tigopesa , Aitel Money, Halopesa nk ni gharama sana hasa kwa maisha ya Mtanzania. Siku hizi karibu kila mtu ana akaunti number ya benk, na matawi ni mengi sana nchi nzima. Hata Wakala wa NMB, CRDB wametapakaa kote nchini. Ni njia rahisi na bei yake ni ndogo...
  18. Wakusoma 12

    Wakuu tutumieni nafasi hii adhimu ya kupanda gharama za miamala kuwataka wanawake waijie pesa tunapoishi ili iwe win-win event

    Huu ndiyo ukweli, jana nimemla mmoja baada ya kumwambia siwezi kumtumia pesa maana makato ni makubwa mno. Naye akasema aje ili aichukue personaly na akapelekewa moto. Tutumieni nafasi hii kuwala hawa mamluki wa Lucifer.
  19. Livingson1

    SoC01 Serikali itumie wafungwa kama chanzo cha mapato. Iondoe Kodi inayokata kwenye Miamala ya Simu

    Wafungwa ni watu wanaotumikia vifungo mbali mbali katika magereza zilizopo nchini Tanzania kote. Wafungwa hawa wana ujuzi tofauti tofauti kwa kusomea ama kwa kujifunza mtaani, wengine ni engineers, nurses, wahasibu, doctors, mafundi kama fundi bomba, fundi nyumba, fundi kupaua, na wengine wana...
  20. M

    Ukistaajabu tozo za miamala kuna na hili la Kodi ya Jengo kulipwa kutumia LUKU

    Yaani sijui wachumi wa rais Samia ni watu wa namna gani, wako out of touch kabisa na maisha ya mtanzania halisi. Lakini tatizo kubwa ni kuteua watu wanaojipendekezapendekeza kwa watawala kwa ajili ya ambition binafsi, badala ya kuteua watu ambao wana principles zao, ambao wanawaza faida za...
Back
Top Bottom