michael jackson

Michael Joseph Jackson (August 29, 1958 – June 25, 2009) was an American singer, songwriter, and dancer. Dubbed the "King of Pop", he is regarded as one of the most significant cultural figures of the 20th century. Through stage and video performances, he popularized complicated dance techniques such as the moonwalk, to which he gave the name, and popularized the robot. His sound and style have influenced artists of various genres, and his contributions to music, dance, and fashion, along with his publicized personal life, made him a global figure in popular culture for over four decades. Jackson is the most awarded artist in the history of popular music.
The eighth child of the Jackson family, Jackson made his professional debut in 1964 with his elder brothers Jackie, Tito, Jermaine, and Marlon as a member of the Jackson 5. Jackson began his solo career in 1971 while at Motown Records, and rose to solo stardom with his fifth studio album Off the Wall (1979) during the peak of the disco era. By the early 1980s, Jackson became a dominant figure in popular music. His music videos, including those for "Beat It", "Billie Jean", and "Thriller" from his sixth studio album Thriller (1982), are credited with breaking racial barriers and transforming the medium into an art form and promotional tool. Jackson's prominence propelled him and the television channel MTV into cultural phenomenons of 1980s pop culture. At the 1984 Grammy Awards, Thriller won a record-breaking eight Grammy Awards, including Album of the Year. Jackson continued to innovate with videos on the global best-seller albums Bad (1987), Dangerous (1991) and HIStory: Past, Present and Future, Book I (1995).
Starting in the late 1980s, Jackson became a figure of controversy and speculation due to his changing appearance, relationships, behavior and lifestyle. In 1993, he was accused of sexually abusing the child of a family friend. The lawsuit was settled out of court, and Jackson was not indicted. In 2005, he was tried and acquitted of further child sexual abuse allegations and several other charges. Four years later, while preparing for a series of comeback concerts, This Is It, Jackson died from an overdose of propofol administered by his personal physician, Conrad Murray. Fans around the world expressed their grief, and Jackson's public memorial service was broadcast live. In August 2009, the Los Angeles County Coroner ruled that Jackson's death was a homicide, and Murray was convicted of involuntary manslaughter in November 2011. Seven years later, the documentary Leaving Neverland, which detailed posthumous allegations of child sexual abuse, led to another media backlash against Jackson, while also inspiring the release of accounts countering the allegations.
Jackson is one of the best-selling music artists of all time, with estimated sales of over 350 million records worldwide. Thriller is the best-selling album of all time, with estimated sales of 66 million copies worldwide. In addition, the remix album Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix (1997) is the best-selling remix album of all time. Bad was the first album to produce five Billboard Hot 100 number-one singles. Jackson had 13 Billboard Hot 100 number-one singles, more than any other male artist in the Hot 100 era, and was also the first artist to have a top ten single in the Billboard Hot 100 in five different decades. He received 13 Grammy Awards, the Grammy Legend and Grammy Lifetime Achievement awards, six Brit Awards, a Golden Globe Award, and 39 Guinness World Records, including the "Most Successful Entertainer of All Time". Jackson's inductions include the Rock and Roll Hall of Fame twice, the Vocal Group Hall of Fame, the Songwriters Hall of Fame, the Dance Hall of Fame (the only recording artist to be inducted), and the Rhythm and Blues Music Hall of Fame. In 2016, his estate earned $825 million, the highest yearly amount for a celebrity ever recorded by Forbes.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

    Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani. Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale...
  2. Mapinduzi ya Michael Jackson kupitia album ya kihistoria ya "Thriller"

    Baada ya Michael Jackson kuachia albamu yake ya tano iliyoitwa Off The Wall mnamo 1979, alikatishwa tamaa na mwenendo wake. Licha ya kusifiwa kuwa albamu hiyo ilifanya vizuri hasa kwa kuuza nakala milioni kumi, alihisi kuwa haikuwa hivyo kwa kuzingatia ukweli kwamba haikushinda Albamu Bora ya...
  3. Mfahamu Bubbles, sokwe wa Michael Jackson aliyejipatia umaarufu mkubwa Duniani

    Hayati Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa ni mwingi wa vituko huko Hollywood. Ukitazama Video ya Kibao cha Liberian Girl ya kwake hayati Michael Jackson utamuona sokwe Bubbles miongoni mwa mastaa wa miaka ya 1980 waliohudhuria video hiyo. Sokwe huyo wa kiume anajulikana kama Bubbles...
  4. QUINCY JONES; Panyaroad Wa Chicago Aliyeitawala Dunia Kimuziki

    Katikati ya mdororo wa uchumi, anguko la viwanda lililosababisha Great Depression. Biashara za magendo zikitawala, Magenge ya kimafia yakiwa fasheni ya mitaa. Ni wakati huo alizaliwa mtoto. Chicago, Illinois, ngome kuu ya maharamia wa Chicago Outfit, chini ya underworld chief, Al Capone a.k.a...
  5. Michael Jackson - Thriller

    MICHAEL JACKSON - "TRILLER" Mwigizaji na mwanamitindo Ola Ray aliyetokea kwenye Video ya 'Thriller' ya Michael Jackson inadaiwa kuwa alilipwa kiasi cha pesa $2,500 sawa na Tsh Milion 6.8 wakati huo1983 ambazo ni sawa na $8,000 Tsh Milion 21.8 leo. Hata hivyo Ola Ray alisema kwamba alitaka...
  6. TANZIA Kaka yake na marehemu Michael Jackson aitwaye Tito Jackson amefariki duniani

    Mwanamuziki Mkongwe wa kundi la Jackson 5 Tito Jackson (70) ambaye ni Kaka wa Marehemu Michael Jackson, amefariki dunia. Siku chache kabla ya kifo chake, aliposti ujumbe akiwa nchini Ujerumani ambapo kundi lao lilitembelea eneo la kumbukumbu ya ndugu yao Michael. Jackson 5 lilianzishwa mwaka...
  7. Uongo/Chuki ina nguvu sana, Ona kilichotokea kwa Michael Jackson

    Kuna watu walieneza maneno ya uongo kuwa Michael Jackson alivyotua nchini aliziba pua yake na kusema kuwa nchi ya Tanzania inanukaa. Ukweli ni kwamba, MJ hakusema maneno hayo na pia kwenye ziara yake nchini aliweza kuitembelea shule ya watoto wenye mahitaji maalumu.
  8. Video: Watu kuzimia kwenye Shoo za Michael Jackson ilisababishwa na nini ? Kuna msanii Mwingine duniani amewahi kufikia level hii ?

    unaambiwa alijitahidi kuivua hiyo miwani taratibu ili kuepusha watu wasife 😂
  9. Ukweli usemwe: Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson

    Najua ni ngumu kusema huu ukweli na kueleweka sababu watu wanakalili na wanarithishwa dhaania. Michael Jackson ni msanii mkali sana na anaheshimika mno kutokana na mambo aliyofanya kwenye entrainment duniani. Lakini hajawai na hawezi kufikia talent aliyonayo Chris Brown. Hii dunia haijawai...
  10. Michael Jackson (MJ) kamwe hawezi kumfikia Chriss Brown kwenye "kudance"

    Nimeona mijadala mingi sana watu wakijaribu kumfananisha Chriss Brown na Michael Jackson, wengi wakienda mbali saana na kusema Chriss ni mwanafunzi wa Michael Jackson, sikatai maana Mwanafunzi anaweza kua bora zaidi ya Mwalimu wake nimebaki kushangaa na kusikitika tu. Hapa siongelei kuimba...
  11. Video: Angalia hapa jinsi Michael Jackson alivyorudishwa na Mchungaji Mfalme Zumaridi

  12. Michael Jackson before he chose to bleach and change his nose in order to look like a poor white woman

  13. Kaka wa Michael Jackson ashtakiwa kwa Ubakaji na Unyanyasaji wa Kimwili

    Mwanamuziki Jermaine Jackson ambaye ni ndugu wa Nyota wa Muziki wa Pop, Marehemu Michael Jackson amefunguliwa mashtaka ya Unyanyasaji na Ukatili wa Kingono dhidi ya Rita Butler Barrett aliyedai alibakwa na kutakiwa kukaa kimya ili kulinda heshima ya Mwanamuziki huyo. Nyaraka za Mashtaka...
  14. Michael jackson: "Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi"

    Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi, (Usijali watu wanasema nini, Kwa sababu tunaujua ukweli) Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kutuhusu, (Inatosha sasa, upuuzi huu!), Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu sisi, Koras! Vichwa Panzi, Bongo lala...
  15. Kesi za Michael jackson Kulawiti Watoto zafufuliwa tena

    Wade Robson na James Safechuck, wamemshtumu Michael Jackson (MJ) kuwanyanyasa Kingono wakati wakiwa Watoto ambapo Kesi zimefufuliwa dhidi ya kampuni zinazomilikiwa na Nyota huyo, aliyefariki mwaka wa 2009. Majaji 3 kutoka Mahakama ya Rufaa ya California wamesema Mahakama ya Chini haikupaswa...
  16. Rose Muhando mwizi wa wimbo wa Michael Jackson

    Rose Muhando dawa yako iko jikoni inachemka siku sio nyingi utainywa. Huyu muimbaji Rose Muhando pamoja na kujisifu kuwa ni mcha Mungu kumbe ni mwizi. Dhambi hii uliyoifanya kwa Michael Jackson itakuchoma hapa hapa duniani kupitia Team nzima ya usimamizi wa kazi za Michael Jackson. Baada ya...
  17. SI KWELI Michael Jackson aliinama mbele digrii 45 mgongo ukiwa umenyooka kwenye ''Smooth Criminal Lean Dance'' bila msaada

    Kumekuwa na debate kubwa kuhusu uchezaji wa Michael Jackson kwenye wimbo wa Smooth Criminal, kuna ile dance aliinama digrii 45 akiwa sakafuni mgongo ukiwa umenyooka, alikaa sekunde kadhaa kabla ya kurudi wima. Wataalamu wa uti wa mgongo wanaonya wengine dhidi ya kujaribu hatua inayoweza...
  18. Nyota ya Michael Jackson imezimika haraka sana baada ya kifo chake tofauti na 2pac, Bob Marley

    Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani. Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley. Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo...
  19. Je, ni kweli Michael Jackson alikuwa analala kwenye chemba maalumu ili aishi milele?

    Hii haiwezi kuwa habari mpya sana kwa wengi wetu humu. Makala nyingi zimeandika habari hiyo kuwa ni kweli. Lakini mimi naijumuisha katika moja ya conspiracy theories. Ni kawaida sana kwa mtu mashuhuri kuwekewa habari nyingi za uongo kwa media ili ku catch attention ya watu. Kumbuka 27 Januari...
  20. Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

    Za jioni ndugu zangu, kwema? Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani. Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu mimi naona kuwa jamaa alibebwa na nyota tu kama ilivyo kwa Diamond, ila kiuimbaji au utungaji jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…