michael jackson

  1. Jr Xavi Hernandez

    Thriller ya Michael Jackson yaendelea kuwa album bora zaidi duniani kwa wakati wote

    Kwahiyo hakuna Album iliyowahi kufanya mauzo kuizidi Thriller ya Michael Jackson? Na Thriller ni ya kitambo miaka ya 1982. Nawaza zimetoka Album ngapi kali lakini wapi? Za kina Ed Sheeran, Taylor Swift, The Weekend na wakali kibao lakini hazijaifikia Album ya MJ kwa mauzo? Tuzo 8 usiku mmoja...
  2. barcelonista

    Michael Jackson

    Ngoma gani ilikufanya useme Michael Jackson ni moja kati Msanii bora kuwahi kutokea. Mimi---Thriller🙌🙌🙌 Vipi kuhusu ww mdau. #forgive Me
  3. Meneja Wa Makampuni

    Naomba nimlete Michael Jackson mpya kwenu nimemwokota mtaani huko

    Naomba nimlete Michael Jackson mpya kwenu nimemwokota mtaani huko.
  4. Superbug

    Freeman Mbowe nakudediket wimbo wa Michael Jackson You not alone

    Mh mbowe Sina zawadi ya kukupa Ila kwa upendo mkubwa Sana Mimi na familia yangu tulionao kwako tunakupa zawadi ya wimbo wa MICHAEL JACKSON ; YOU ARE NOT ALONE. Barikiwa.
  5. C

    Kama ilivyokuwa kwa Living With Michael Jackson Royal Tour ya Rais Samia yaweza kuwa na lengo baya kwa Tanzania

    Kwa mliofuatilia uandaaji na hatimaye kuoneshwa kwa makala maarufu ya Living With Michael Jackson mtakubaliana nami namna mwandishi mashuhuri Martin Bashiri alivyomrubuni, Mfalme wa Pop Duniani, Hayati Michael Jackson, kushiriki kwenye uandaaji wa makala kwa kumhakikishia kuwa makala hiyo...
  6. Sky Eclat

    Teodoro Nguema Obiang Mangue: Mtoto wa Rais mwenye maisha ya kifahari kwa fedha za ubadhirifu

    Kwa miaka mafanikio ya Teodoro "Teodorin" Nguema Obiang Mangue yaliwiana na mafanikio ya nchi yake Equatorial Guinea, kama ilivyopanda na kuboreka kama mzalishaji mkubwa wa mafuta katika Kusini mwa jangwa la Sahara Mtoto wa Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo anafurahia maisha yake ya kifahari...
  7. sinza pazuri

    Busta Rhymes: Diamond ni Michael Jackson wa Africa

    Rapa namba moja duniani kwenye kucheza na ulimi "tongue twist" aitwae Busta Rhymes ameiambia dunia kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba Michael Jackson wa Africa ni Diamond Platnumz. Busta amefikia kumuita Diamond ndio Michael Jackson wa Africa baada ya kuona uwezo wake mkubwa kiasi cha...
  8. Slowly

    Video : Michael Jackson wa Afrika

    Tukutane sheli
  9. Da Vinci XV

    PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

    Wasaalam wakuu Hivi tunakwenda wapi na DUNIA yetu Mwaka uliopita kulizuka habari juu Paris Jackson, binti wa Fundi wa pop marehemu Michael Jackson, anahusika katika filmu mpya ambayo yeye atacheza kama ,Yesu Kristo kama mwanamke msagaji katika filamu hiyo mpya ya Habit Habit, pia itachezwa...
  10. Mkaruka

    Ila Michael Jackson bana, aiseee

  11. X

    Nani ni msanii bora wa Afrika kwa sasa?

    Kwa kutumia vigezo vya Tuzo za ndani na nje ya Afrika, Mauzo ya Album, Show kali za kimataifa (matamasha makubwa), Hits n.k Unafikiri nani msanii bora wa Afrika kwa sasa?
  12. I_manyota

    Hard to choose thread nimeona niwashirikishe wakuu tuanze na ipi hapa?

    Naandika nafuta maana nikiandika hii nyingine inakuja naona kama iko mzuka kuanza nayo nikitaka kuanza nyingine inakuja sasa nimekaa hapa hata sielewi nianze ipi nimalize na ipi 😫😀😀 Wazee list yenyewe hii hapa inayovuruga kichwa Quincy Jones - Producer nambari moja dunia kwa upande wangu...
Back
Top Bottom