Shule ya sekondari Borega ,iliyoko mkoani Mara ,Musoma vijijini kwakweli imezidisha michango kwa wanafunzi mpaka kero.
Cha kushangaza tunapofanya malipo wanafunzi hawarudi na risiti, tulitangaziwa kusitishwa kwa ada kwa wanafunzi wa Elimu ya juu ,lakini form six wa awamu hii bado wanalipa kwa...
Leo nimesikia kwa masikio yangu mwenyewe kiongozi mmoja wa CCM akimkoromea mtendaji wa Kata kwanini hakusanyi michango ya mwenge. Hili jambo limemisikitisha sana kwa kweli. Unajua tangu zamani nilikuwa nasikia walimu wakilalamika kukatwa mishahara kuchangia mafuta ya mwenge nikadhanini...
Katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani imekuwa ni ada na desturi kwa Waislamu na wasiokuwa Waislamu kuendeleza moyo wa kuchangia na kuwasaidia watu wa makundi mbalimbali. Na hii ni pamoja na kufutarisha mayatima, watu wenye maisha duni, waumini wa misikitini ama hata watu kawaida...
TANZANIA KUNA WAJINGA WENGI SANA!!SASA KWA NINI SIKUKUU YA WAJINGA YA TAREHE 1 MWEZI 4 MWAKA 2023 IMEKOSA SHAMRASHAMRA? JE IMECHANGIWA NA SIKUUU HII KUANGUKIA MWEZI AMBAO WATU WA DINI ZOTE WAMEFUNGA?AU KUTOKANA NA KUKITHIRI KWA UJINGA KUMEFANYA WASAHAU KUSHEREKEA SIKU HII MUHIMU?
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi umebaini kuwa matumizi kutoa huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya yamekuwa makubwa ikilinganishwa na michango yao.
Katika mwaka 2021/2022 mfuko umepata hasara ya Sh189.65 bilioni...
Moja ya Vitu ambavyo Serikali inapaswa kupongeswa navyo katika swala la Elimu ukiachilia mbali miundombinu ya madarasa nk basi huachi kabisa kuipongeza serikali hii inayoongozwa na Dk. Samia Suluhu pamoja na ile ya mtangulizi wake Hayati John Magufuli kwa katazo na marufuku ya Michango mashukeni...
Maandalizi ya mazishi ya Sophia Mohamed (40) mkazi wa Kijiji cha Kipereza Kiteto akidaiwa kujinyonga kukwepa usumbufu wa michango sambamba na mimea yake kuathiriwa na jua. Picha na Mohamed Hamad.
Kiteto. Mkazi wa Kijiji cha Kiperesa wilayani Mkoa wa Manyara, Sophia Mohamed (40) amejinyonga hadi...
Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha?
Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa?
Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
1. Kila asubuhi watoto eti wanafanya mitihani. Mtoto anawajibika kuripoti shuleni saa 12 asubuhi na kuanza mtihani saa 12.30 asubuhi. Ada shiling 200 kila asubuhi.
2. Jumamosi mtihani. Toka saa 1 mpaka saa 7 mchana. Ada ya mtihani shilingi 1,200. Hii ndiyo utaratibu kutoka ofisini kwako? Au...
Salam Wakuu,
Ndani ya mada kabisa, Nataka kujua ni hali gani anakuwa na mtu kama huyu. Mapema January mwaka huu nilipata kadi ya kuchangia send-off kutoka kwa rafiki yangu, ambapo aliainisha mapema mwezi huu ata-agwa kutoka nyumbani kwao.
Kwa tamaduni za send-off, japo siyo mdau huwa naona...
Kwanza Kabisa nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuboresha mazingira ya shule za msingi nchini lakini ninachotaka kusema ni kuwa waziri wako wa elimu ameshindwa kabisa kufikia matamanio yako ya kuona watoto wa watanzania wanyonge wanapata elimu bora kama watoto wao...
Shule nyingi za msingi za serikali siku hizi zimejaa michango mingi sana ambayo inaleta matabaka kwa watoto!
Walimu wanachangisha hela ya mitihani kila siku 1000.
Ndoo mpya kila term,
Fagio jipya kila mwezi,
Hela ya safari (tour) kwa mgongo wa hiari huku nyuma wanawapiga mkwara watoto kwenda...
Nimeshangazwa na mchango wa madawati Uhamiaji Sekondari kwa wanafunzi wanaojiunga kidato cha kwanza, kwani nilitegemea shule zote za Dar zilishapewa madawati ya kutosha. Hebu mwenye undani wa jambo hili atujuze.
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chama hicho Duniani kote leo.
Kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mandela wa Eneo la Maziwa Makuu, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, Leo tarehe 4/12/2022 anaondoka nchini Tanzania kuelekea nchini Marekani kwa ziara ya...
Kila mtanzania mwenye kulitakia mema taifa lake alichanga kidijitali ili Chadema wawe vizuri.
Sasa mbona wanalia kuwa wana magumu kiasi cha kutamani ruzuku kupitia mgongo wa Mdee na wenzake?
Hela bwana Shetani sana hahahaah, hivi kuna mtu umewahi kukusanya mchango hata wa msiba tu halafu usichomoe hata 10,000 yaaani lazima itakuja kishawishi tu utachomoa sijui kwanini!
Hivi kuna mtu ambaye hajawahi hata siku moja umechangisha hata kuchomoa kidogo?
Unapataje AFYA ya Akili, ili Hali unadaiwa namna hii?
Kanisani.
1. Unadaiwa Fungu la kumi
2. Ujenzi wa Kanisa.
3. Kumnunulia gari Mtumishi.
4. Ujenzi nyumba ya Pastor.
5. Mchango kwa wasiojiweza.
Serikalini.
1. TRA
2: TOZO.
3: Leseni ya biashara.
4: Bill ya MAJI
5: Bill ya umeme
6:Tozo ya...
Mfanyabiashara maarufu wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, James Mushi amefungua maombi madogo akiiomba Mahakama ya Wilaya hiyo itoe zuio la kusitisha usambazaji wa kadi na michango ya harusi ya mtu anayedaiwa kutumia jila lake na familia yake kuchangisha michango hiyo.
Akiwasilisha maombi...
Kwakuwa shauri lipo mahakamani ni vizuri tusubiri maamuzi ya mahakama.
Lakini michango ya Harusi ni mingi kuliko hata Tozo tunazozipigia kelele kila uchao. Na hili nalo mkaliangalie.
Na kesi ya msingi wakati inasikilizwa ni vizuri kusitisha michango ya harusi kwanza tupate muongozo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.