Wanaukumbi.
Viongozi wa CHADEMA sasa hivi kama wameishiwa mbinu za kukijenga na kukiimarisha chama kama ilivyokuwa enzi za kina Prof. Safari, Dr Slaa, Zito Kabwe.
Mbinu na sera zilizobaki sasa ni kuwaomba wananchi michango ili watumie kwenda kuwaomba wazungu waiwekee vikwazo Tanzania...