michepuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushauri kwa wadada ambao ni michepuko ya waume za watu

    Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza kwa huduma ya penzi lenu mwanana hakika mna mahala penu mbinguni. Ushauri niliowaitia hapa ni kuwa dada zangu mnajisahau sana: 1. Unapokuwa mchepuko tambua kuwa wewe ni wa mda mfupi kwa msela, hivyo kaa kijanja ,uwezekano wa mchepuko kuzidi miaka mitano...
  2. Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

    Ntajaribu kuifupisha Sana hii kadiri ya uwezo wangu[emoji116] NI HIVI, Bila shaka mnamkumbuka yule Mchepuko Wangu anaesoma chuo kikuu ambae ni mdg wake na mamaJ. Uyu Binti mahusiano yangu na yeye yapo yapo TU kwa msimu. sometimes ON, sometimes OFF Yaan kwa mwez tunaweza kuonana Mara 1 au Mara...
  3. M

    Michepuko msitufanye Benki ya Dunia

    Yaani bila aibu wala kujistukia kidogo, tena eti ananiita''mume wangu'', kheee!! Watu tupo bize na vita ukraine uko, yeye anataka kuanzisha vita yake na hela zangu!!! Pumbavuuu, kaona nimeuchuna mpaka eti ananiambia kadri ninavyochelewa kumtumia hela ndio anazidi kuchelewa kuja.
  4. Ajiua kwa kujitumbukiza kisimani baada ya kuua mke, mtoto kisa mgogoro wa michepuko

    Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Madirisha Kanyalu (60) amejiua kwa kujitumbukiza kwenye kisima baada ya kumuua mtoto wake Meshack Madirisha (miezi 11) pamoja na mkewe aitwaye Evodia Nyerere (27) kwa kutumia kitu chenye makali akimtuhumu mkewe kuchepuka na wanaume wengine. Kwa mujibu wa Kaimu...
  5. Mke ashirikiana na michepuko 4 ya mumewe kumuandalia "surprise" mume, adondoka na kuzimia siku ya Valentine

    Mwanaume mmoja huko Nairobi Kenya alifanyiwa surprise ya mwaka na mkewe akishirikiana na wanawake 4 anaotembea nao mumewe. Ilikuwa siku ya Valentine mke akapanga mipango na wake wenzake ili waandae party ya valentine kwa ajili ya mume wao! Inaelekea walitaka kukomesha kwa kuwachanganya...
  6. Wenye michepuko mingi na ngono zembe mnahatari ya kupata saratani ya via vya uzazi kwa wanaume

    SARATANI YA UZAZI KWA WANAUME Upande wa Mwanaume Kuna Aina nyingine tofauti tofauti za kansa kwenye mfumo wa uzazi wa mwanaume Kama ilivyo upande wa mwanamke. Kuna Aina tatu (3) ambazo mara nyingi hutokea au humpata mwanaume kwenye via vyake vya uzazi (mfumo wa uzazi). โœ“ Saratani ya kibofu...
  7. Je, umeelemewa na michepuko, au wapenzi wengi na unashindwa namna ya kuwaacha? Wambie huna pesa

    Habari! Ni hulka ya kila mwanaume kutamanitamani vibinti vizuri vyenye sura au umbo zuri. Na ikitokea una kakipato kidogo cha kubadilisha mboga ghafla unaweza kujikuta una wapenzi 3-5 au zaidi huku nyumbani una mke. Hii hali inachukuliwa poa ila kwa hakika inafanya umasikini uendelee...
  8. C

    Mwanamke usivunje ndoa kisa michepuko ya mumeo

    Mwanamke elewa kuwa asili ya mwanaume ni udume ambao anahitaji atawale dunia kwa kila kitu. Wanyama na ndege pia viumbe vya kiume hutawala species zao. Kwa hiyo basi fanya ufanyalo mwanaume lazima achepuke, hata umlambe makunyanga yake lazima achepuke, hii siyo tabia ni nature ya viumbe vya...
  9. Aina nne za Wanawake Michepuko

    1. ๐— ๐—–๐—›๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ž๐—ข ๐—Ÿ๐—”๐— ๐—œ: ๐—›๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ฒ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ผ ๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ถ ๐—ฝ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ, ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฝ๐—ฒ, ๐˜‚๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ฒ ๐—ฎ๐˜‚ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ฒ ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐˜๐˜‚. 2. ๐— ๐—–๐—›๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ž๐—ข ๐—ฉ๐—จ๐— ๐—•๐—œ: ๐—›๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—บ๐˜‚! ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ผ๐—ผ๐—ผ๐—ต๐—ต๐—ต ๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ, ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ, ๐˜€๐—ถ๐—ท๐˜‚๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ, ๐—ผ๐—ผ๐—ผ๐—ต ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—น๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฒ๐—น๐—ณ ๐˜๐—ต๐—ฒ๐—น๐—ฎ๐˜๐—ต๐—ถ๐—ป, ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐—น๐—ถ ๐—ป.๐—ธ! ๐—ก๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ผ...
  10. Wanawake wa hivi wangekuwepo Tanzania michepuko sijui ingekuwaje

  11. Aina nne (4) za wanawake michepuko

    1. MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. 2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii...
  12. H

    Wanandoa waishio mikoa tofauti

    Salaam. My first thread kipande hiki cha mahusiano which is my favourate in this platfom. Twende kwenye topic, tupeane experience kwa wanandoa wanaoishi mikoa tofauti kutokana na sababu za kikazi n.k. Inakuwaje kuwaje hasa kwa mwanaume issues kama usafi wa ndani, kufua, mambo ya kutandika...
  13. Kwanini wanasema simu ya mpenzi wako sumu?

    Wengi wanajutia au hata kufurahia uamuzi wao wa kujikuta wanachungulia ujumbe na mawasiliano ya wenzao katika simu zao za mkononi lakini matokeo yake ni jambo ambalo hawakulipangia. Ni kifaa kidogo cha mkononi ambacho kilifaa kurahisisha mawasiliano miongoni mwa watu. Lakini sasa hivi kama...
  14. Michepuko inaokoa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

    Sio michepuko stress๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  15. Mwana-kulitafuta, mwana-kulipata: Namna ambavyo michepuko huchipua

    Huu ndio mfano halisi wa kile ambacho kinatokea ndani ya nyumba nyingi! Natumaini wa kujifunza mtajifunza jambo ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ!!! cariha Rebeca 83 Wangari Maathai Espy Karma Saint Anne financial services muite na wenzenu
  16. B

    Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

    Habari za muda huu wadau, Nimekuja na kichwa hichi Cha habari, kutokana na juzi Kati tulikuwa na washkaji Kama wanne hivi wote tupo kwenye ndoa, kasoro mmoja wetu, single boi. Tukajikuta katika mada ya kushare changamoto za ndoa zetu kila mtu kwa muda wake, Katika kushare experience hizo...
  17. Mapenzi ya umbali mrefu ni heri muijue michepuko yenu kuliko kufichana na kudanganyana

    Kuna haya mahusiano ya umbali mrefu unakuta mwanaume yupo Arusha na mwanamke yupo moro Aidha ni kwasababu ya kazi, biashara, n.k, hivyo kupelekea kutoonana kwa muda mrefu japo mawasiliano yapo. Nasikitika navyoona wengi wanavyodanganyana kama watoto, kila moja anamdanganya mwenzake yeye hana...
  18. Mpango wa kando wa zamani wa Aliko Dangote waweka mambo hadharani; kimada wa sasa akanusha

    Katika mambo yaliyotrend siku ya mwisho wa mwaka 2020 ni suala la mchepuko wa Mwafrika tajiri kuliko wote, Aliko Dangote kuweka hadharani mahusiano yao akidai moyo wake kuvunjwa katika vipande 1,000. Katika ukurasa wake, mwanadada wa kimarekani Bea Lewis ambaye ni mmiliki wa mgahawa, alieleza...
  19. Mbeya: Mwanamke achomwa kisu shingoni baada ya ugomvi wa kutoleana siri za michepuko kwa jamii

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia SALOME BUYA [23] Mkazi wa Mnazi kwa Ndomba wilayani Mbarali kwa tuhuma za kumjeruhi vibaya sehemu ya shingoni TABIA ABDALAH [38] Mkazi wa Msesule. Tukio hili limetokea mnamo tarehe 06.10.2020 majira ya saa 18:00 jioni huko Kijiji cha Mnazi, Kata ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ