michezo kimataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Simba inajilinganisha na miamba ya Afrika lakini Yanga wamekomaa kujilinganisha na Simba

    Simba kimataifa kwa miaka ya karibuni inajitutumua ili iwe kama vilabu vikubwa barani Africa, Al Ahly, Zamalek, Al hilal, As Vitta, Nkana, TP Mazembe, Mamelod, Kaizer Chiefs nk Lakini cha kushangaza watani wanataka kuvunja rekodi za Simba na muda wotewabajiringanishana kuiongelea Simba kama...
  2. Ni mapema kuilinganisha pair ya Gabriel/Saliba na legendary pair ya Vidic/Ferdinand au Terry/Carvalho

    Majuzi hapa mashabiki wa Liverpool eti wakawa wanasema virgil ni bora kuliko vidic. Admin wa page ya FA Cup akawakumbusha vizuri wamjue vidic ni kisiki. Naona vijana wa Arsenal wanaanza kusema pair ya vijana wao ni bora kihistoria EPL. Nakubali kuwa vana Dijk, n Saliba na Gabriel ni wachezaji...
  3. Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

    Ufunguzi huo uliosheheni nakshi nashi za namna yake umepigwa vikali na vikundi vya watu wenye imani kali; wakiishutumu Ufaransa ambaye ndiye mwenyeji wa michezo hiyo mwaka huu kuwa maonyesho yalijaa viashiria vya kukashifu ukristo na ushetani mwingi. Mfano maigizo yaliyoiga namna Yesu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…