Hassan zhou
Awamu ya 24 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itafunguliwa Beijing mnamo Februari 4. Kutokana na hali ya hewa ya joto kwa mwaka mzima katika maeneo mengi ya Afrika, inaeleweka kuwa ni nchi chache tu, zikiwemo Eritrea, Ghana, Madagascar, Morocco na Nigeria ndizo...
Marekani haitatuma wawakilishi rasmi kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi huko Beijing. Kwa mujibu wa Ikulu ya Marekani, njia mojawapo ya kukemea ukandamizaji wa jamii ya Uyghur nchini China.
"Hakuna afisa wa Marekani au mwanadiplomasia atakayekuwepo Beijing mwezi Februari," msemaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.