Ndugu wananzengo mchumbuzi huyu sikuiz kashalevuka maana hana fact bali kajawa na mihisia kama ya mwanamke, leo ni siku aliyoipanga kwajili ya kimuinua mpuuz Zaka za Makazi ... dadeki eti hakuna afisa habar Tanzania kama wa Icecream
Yaan unatuhamasisha twende tukafollow lipage la Kazikazini...
huyu jamaa siku hizi kama simwelewi yupo upande upi, inaonesha wakati anakabidhiwa usipka hakupata shule ya kutosha kabisa kutoka kwa bi mkubwa Makinda.
mfano angalia hapo chini kauli 2 tofauti za JOB
Ndugai 1: Bunge tunakupongeza Rais Samia kutuletea mkopo Trillion 1.3, hii ni boost kubwa...
Mimi ni katika watu waliosikitishwa sana na kesi ya ugadi aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Hii inaonesha suala la haki za raia lina mushkili sana. Fikiria kama inaweza kufanyika hivi kwa mtu mkubwa kama Mbowe, vipi hali zetu sisi wa kawaida?
Hata hivyo, wakati tukishinikiza...
Tunaona kila kitu kinavyoenda na kwa kweli sio mbaya kabisa kwani Mbowe akifungwa itakuwa ni chachu Zaidi ya mapambano kwani very soon we will see the right light!
Leo Shahidi wa michongo Afande Jumanne anakuja kuendelea kutoa ushahidi wake wakati hata yeye anajua fika kuwa yeye ni Shahidi wa...
PhD. YA MICHONGO NI KUBWA KULIKO PhD YA DARASANI.
Na. Robert Heriel.
PhD ya michongo ni degree ya heshima ambayo mtu hafundishwi na mtu isipokuwa maisha. Mkufunzi mkubwa wa PhD ya michongo ni maisha, PhD hii ina coursework na thesis papo hapo Kwa pamoja.
Ogopa mtu mwenye PhD ya michongo huyu...
Mara nyingi nilikuwa nasikia kwa vijana vijiweni Luna mchongo pale.
Nikaja kusikia mgombea Fulani anawambia vijana nitawapa michongo.
Jana nimesikia mahakamani Michongo.
Nini maana halisi ya neno Michongo?
Je, ina athali kisheria kutumia neno hilo kwa shahidi awapo mahakamani?
Habari,
Huu ni uzi wa vijana tunaopenda safari, namaanisha kuzamia nchi za Ulaya na America bila kusahau Japan na Australia.
Lengo Ni kusaidiana kama watanzania ili kuwezesha wengi zaidi kutimiza ndoto zao za kuishi "mambele mbele" a.k.a duniani..
Tuambie upo chimbo gani na taratibu za...
Kama lipo eneo Magufuli aliwa-win wabongo ni kuwaaminisha kwanza Tanzania ni Nchi tajiri huko akitolea mifano akiba ya rasilimali tulizonazo na zaidi akiwaachia uhuru usiyo na mipaka walalahoi kufanya lolote lile wanalotaka huku akitoa amri ya wasifanywe lolote. Rejea machinga.
Sasa,kwa...
Ndugu zetu mliopo Mafinga tunaomba mtupe connection ya kazi za viwandani huko.
Mtuambie viwanda vilivyopo na malipo yake kwa kila kiwanda.
Pia kama nafasi zipo tunaomba mtushirikishe na sisi. Huku mjini njaa ni kali sana.
Habari gan wadau? Kitambo nlipotea ila nilikuwa na michongo flan naipiga so nlikuwa bize kidogo...! Tatizo la VIJANA sisi ni wagumu kupeana michongo.
Ni hivi kuna ishu kama mbili tatu nlikuwa nazifanya ambazo now napiga mpunga tararibu ISHU hizo ni kama zifuatazo
1) FOREX...Ni kweli sema...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Tatizo "connection" umekuwa ni wimbo ambao unaimbwa na vijana wapambanaji wa mtaani, wahitimu wa vyuo, wasanii na watu mbalimbali kuwa ni moja ya kikwazo kinachowachelewesha wao kupata kazi au kufanikisha jambo fulani.
Ni kweli kuwa "connection" ina mchango...
Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao.
Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria...
Mifano ya sera na sheria za tanzania zinavyowanyima vijana wengi michongo.
# Mashariti ya kumiliki na kusajili maudhui ya mtandaoni( Youtube channels, Blog, website, etc)
Chanzo: https://www.tcra.go.tz/uploads/documents/sw-1619110553-The Regulator Special Edition.pdf
Ni vijana au...
Mambo vipi wadau,
Mimi kijana nafanya kazi sehemu moja ila mshahara wangu mdogo ila unagawanyika sana naona kabisa mshahara haujitoshelezi. Nimeandika huu uzi kwa wale wajanja mjini tupeane basi code nasi tufanye hizo harakati tutoboe wote maisha kiukweli hela ya kutegemea mshahara ni mateso...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.