Wakuu,
Mtiania wa kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Rombo Mkoani Kilimanjaro Mickdad Abdul Msigati leo Jumatano Julai 2,2025 amerudisha fomu yakuomba ridhaa yakuwania nafasi hiyo kupitia CCM.
Fomu hiyo ameirudisha Kwenye ofisi za CCM Wilaya ya Rombo ikiwa pia leo ni siku ya Mwisho ya...