Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu,
Mtiania wa kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Rombo Mkoani Kilimanjaro Mickdad Abdul Msigati leo Jumatano Julai 2,2025 amerudisha fomu yakuomba ridhaa yakuwania nafasi hiyo kupitia CCM.
Fomu hiyo ameirudisha Kwenye ofisi za CCM Wilaya ya Rombo ikiwa pia leo ni siku ya Mwisho ya uchukuaji na Urejeshaji wa fomu hizo zakuomba ridhaa kupitia CCM.
Msigati anaingia kwenye kinyang'anyiro hicho huku Mbunge wa Jimbo hilo anaemaliza muda wake Prof. Adolf Mkenda akiwa tayari na yeye ameshachukua na kurejesha fomu hiyo ikiwa ni hatua yakutetea kiti chake cha Ubunge.