Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amesema; "Mimi nafikiri tatizo letu kubwa ni tumeshindwa kutofautisha mijadala ya kisomi na siasa za nje. Wasiwasi wangu ni kwamba watu wanafikiri kwamba ukishakuwa na uongozi wa serikali ya wanafunzi ya Chuo...