Habari!
Kuna wakati Mimi napingana na sayansi ya mazingira. Mara nyingi hata kwenye mikutano ya kimataifa wanajadili global warming ambayo inasababishwa na shughuli za kibinadamu kama viwanda, kilimo, uvuvi n.k.
Lakini kuna misimu mingine ya baridi kwa maeneo mbalimbali duniani inapita kawaida...
Imekuwa zaidi ya ugonjwa unakuta mtu amependeza hasa aila akikusogele kuongea mdomo wake unato harufu si nzuri.
Nashauri elimu itolewe kwa kila namna kuondoa hili tatizo.
Kwema ndugu zangu watanganyika? Kutokana na mimi kupitia changamoto za kifedha kwa sasa, nilimuomba Wife tupunguze gharama za uendeshaji wa maisha yetu kwa kujibana sana, pendekezo langu la kwanza nilipendekeza Wife anyoe nywele zake alizosuka, akajitetea kwamba nywele zake katumia karibia miaka...
Mwanamume wa kimasai aliingia katika benki moja huko Nairobi Kenya kwa lengo la kuomba mkopo.
Alimwambia afisa wa mikopo kuwa anaenda Dubai kikazi kwa wiki nne na anahitaji kukopa 5,000 Ksh.
Afisa wa benki hiyo akamwambia kwamba benki itahitaji dhamana ya usalama wa mkopo huo.
Mmasai akadai...
Wakubwa nlipitia sana life la Msuba na Chiga nyingi wakati nikiwa na saka life.
Sasa yale maisha nisha ya kacha ila kinacho ni boa lips zimeungua zimekuwa nyeus flan hivi kiasi kwamba kila mtu akiniona ananiambia vipi unavuta bangi asee huwa na boreka kinyamaaaa.
Au ukipiga story ukicheka...
Jana rafiki yangu ambaye ni kabila moja na mimi na Bishop Gwajima pia amenimegea stori ndogo kuhusu Bishop Gwajima kuwa aligoma kujibu maswali yoyote yaliyohusu na mahubiri yake kanisani kwake akisema hayo ni mambo ya kiimani na hawezi kujibia kitu akiwa bungeni.
Ameendelea kuwaeleza kuwa ya...
Watu wanaojulikana kama Surma wanapatikana Ethiopia wanatamaduni ya kung'oa meno na kuchana mdomo wa chini
Zoezi hili hufanyika wakati wa kupevuka. Mwanamke atakayeweka sahani kubwa zaidi hulipiwa ng'ombe wengi kama mahari
Wanaume huchana midomo kuashiria wako tayari kuingi katika ndoa
"I might disapprove of what you say, but I will defend to the death your right to say it"
Siafiki mengi yanayosemwa na wapotoshaji.., lakini sifurahii kuwaziba midomo so called wapotoshaji, sababu kama tukiwaziba midomo leo na kweli wamepotosha uzibaji midomo huo huo unaweza kutumika kesho...
Si ubaya wa umbo la hasha. Wala si tafsiri ya midomo michafu. Uchafu kwa maana ya kutokuwa msafi. Na uchafu kwa maana ya matusi na maneno yasiyo na staha
Tunaishi kwenye jamii ambazo ni jambo la kawaida kusikia kuwa fulani ana mdomo mbaya. Na anaweza kuwa ndugu jamaa rafiki ama hata wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.