Si ubaya wa umbo la hasha. Wala si tafsiri ya midomo michafu. Uchafu kwa maana ya kutokuwa msafi. Na uchafu kwa maana ya matusi na maneno yasiyo na staha
Tunaishi kwenye jamii ambazo ni jambo la kawaida kusikia kuwa fulani ana mdomo mbaya. Na anaweza kuwa ndugu jamaa rafiki ama hata wewe...