Wadau wasalaam
Nimepata tenda ya kupleka Ngombe na Mbuzi Zanzibar kutokea Dar es alaam. Naomba ushauri njia ipi nayoweza tumia kusafirisha mifugo(ikiwa hai) na pia kusafirisha kama nyama ikiwa imechinjwa.
Ahsante.
Ngombe ana mastitis kali. Maziwa yote manne yalikuwa yameugua yanatoa maziwa almost kama yananata kama gundi ya maji. Akatibiwa kwa Gentamycin, then akaja daktari akasema ungelianza na dawa ya chini kama penstrep na maltijet infusion tubes zenye penicillin na strptomycin. Nikafanya hivyo kwa...
Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa.
Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti.
Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science.
Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology...
MAAFISA MIFUGO, UGAVI ETC.
=========
WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA)
Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. LITA ilianzishwa kupitia Wakala za Serikali Sura 245. LITA ilianzishwa tarehe 01, Septemba, 2011 na...
Habari ndugu zangu watanzania
Mi ni kijana umri miaka 25
Nasoma afya ya wanyama chuo cha kilimo na mifugo kaole bagamoyo mwaka wa pili
Natafuta nafasi ya kujitolea kwenye sekta ya afya ya wanyama na uzalishaji
Muda ni miezi miwili tu kuanzia september mpaka november
Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
OFISA Mifugo Manispaa ya Shinyanga, Velan Mwalukwa, ametiwa mbaroni kwa kumtolea lugha chafu Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, na Ajira.
Mwalukwa, ametiwa Mbaroni jana wakati wa mkutano wa Mbunge Katambi, Kata ya...
Habari zenu wana JamiiForums, mimi kama kijana mtafutaji na mwenye kiu ya mafanikio, nimeamua kuja kwenu Ili nipate ABC juu ya mada tajwa hapo juu. Nimejaribu kupitia maada mbalimbali za zamani juu ya hii maada ila sikufanikiwa kupata data nilizokuwa nazihitaji, hasa ukizingatia taarifa za...
Ni ukweli usiopingika kuwa Ili Uchumi wa Viwanda katika nchi yetu uimarike, ni lazima tutegemee Mali ghafi zaidi zinazotokana na Kilimo na Mifugo.
Hivi sasa uzalishaji wa mazao ya Kilimo hasa yale ya biashara mfano kahawa,pamba, mkonge, na mengineyo umeshuka sana kipindi cha karibuni. Hali...
Azolla bado imeonesha kushika kasi hasa katika ufugaji wa kuku, samaki, ng'ombe mbuzi sungura na nguruwe kwan inapunguza kiasi kikubwa cha gharama ya chakula pia inaongeza ukuaji na afya ya wanyama. Azolla ina protein kubwa sana kwa ajili ya ukuaji wa wanyama.
Kwa mahitaji ya mbegu ya Azolla na...
Ndg wana jf hope sote tu wa afya njema baada ya hekaheka za wiki nzima.
Naomba mwenye EXPERIENCE ya kutosha na hii biashara ya Mifugo hasahasa Ng'ombe kuwaleta Dar kutoka Mikoani kama inalipa
coz nimewahi enda pale PUGU Mnadani wakati wa Christmas angalau nijitafutie Mbuzi wa kumtafuna na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.