mifuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Asema Serikali Imeruhusu Wananchi Walioajiriwa na Waliojiajiri Kujiwekea Akiba Katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    MHE. RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII *Amesema Tanzania mambo ni moto moto *Mhe. Makonda aishukuru NSSF kuwafikia wananchi waliojiajiri mkoani Arush *Kupitia kampeni ya Staa wa Mchezo wa NSSF...
  2. Intelligence Justice

    Unyonyaji wa sheria ya mifuko ya jamii hasa NSSF kuhusu manufaa ya michango kwa wachangiaji

    Wakuu, NSSF BUNGE la Jamguri wa muungano wa Tanzania Kama mada ilivyo hapo juu wachangiaji wananung'unika masuala yafuatayo:< 1. Kwanini riba ya mfuko kwa mchangiaji imefanywa kwa asilinia ndogo cha 2% kwa mwaka kiasi ambacho hakisaidii chochote kumnufaisha mchangiaji? 2. Kwanini riba ya...
  3. notyfeky

    Naomba muongozo wa biashara ya mifuko

    Habari nduguzangu. Kuna hii mifuko inayotumika kubebea mahitaji mbalimbali ya nyumbani, ambayo rejareja huuzwa 200, 300 na 500. Bei ya jumla inauzwaje? Na je inakaa mingapi? Inapatikana wapi kwa Dar es Salaam. Nataka kuagiza nizungushe kwenye manuka kwa bei ya jumla jumla.
  4. M

    Huku Manispaa ya Songea, Watoto wadogo wamekuwa Machinga wa kuuza mifuko hadi muda wa usiku

    Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku. Kipindi hiki ambacho wamefunga shule, wamekuwa wanaanza biashara hiyo asubuhi hadi usiku wa saa tatu hadi nne katika soko la jioni maarufu...
  5. Mayova

    MIFUKO YA UTT NININI ?

    Wapendwa wote habari za mwaka mpya 2025 !! Jamani kama kichwa cha habari nlivo kiweka hapo juu, naomba anaye weza kunipa ufafanuzi juu ya mifuko ya Utt na faida za uwekezaji katika sekta hiyo. Maana nimepitia nyuzi mbalimbali humu JF nikaona wengi wanazungumzia kuhusu UTT
  6. PeeWee

    Mifuko ya UTT AMIS kuanzia Januari 2024 mpaka Desemba 30 2024

    Habari wana JF, nitangulize salamu zangu za Kheli ya mwaka mpya kwenu nyote. Kama ilivyo ada kuanza mwaka na malengo mbalimbali ya kimaisha hasa katika eneo la uchumi, hivyo nikajipa assignment kidogo ya kupitia na kuangalia huu uwekezaji kupitia mifuko ya UTT kama ambavyo mada nyingi zimewekwa...
  7. D

    Hili la Waislamu kuzunguka na visanduku au mifuko kuomba sadaka limekaaje?

    Mara kadhaa hukutana na Ma-ustaadhi wakiwa na visanduku au mifuko wakiomba Sadaka/Swadaka kwa ajili ya misikiti (Sio michango) Hapo Huwa najiuliza huu ni utaratibu mzuri kweli? Maana waumini wanafika au wanatakiwa kufika ibadani katika misikiti au makusanyiko ya kiibada, na hapo ndipo mahala...
  8. Stephano Mgendanyi

    Juliana Masaburi Atoa Rai Ofisi ya Waziri Mkuu, Mifuko 71 Iwafikie Vijana Mikoani na Wilayani

    JULIANA MASABURI ATOA RAI OFISI YA WAZIRI MKUU, MIFUKO 71 IWAFIKIE VIJANA MIKOANI NA WILAYANI Akizungumza katika Kongamano la Fursa za Kiuchumi kwa Vijana Mkoani Mara Wilaya ya Tarime lililofanyika tarehe 14 Novemba, 2024 katika Ukumbi wa CMG, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana...
  9. KikulachoChako

    Mchango wa harusi sio deni. Usipange bajeti zako kwenye mifuko ya wenzako

    Habari waungwana wa humu. Bila shaka hakuna aliye mgeni wa kadhia hii kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii zetu.. Kama kawaida ya watu duni umoja wetu ndio nguvu yetu ya kufanikisha yale yanayoonekana yako nje ya kimo chetu kiuchumi. Mshikamano ni jambo la msingi sana lakini inakuwa...
  10. Raba kali

    Ni wapi naweza kupata wateja wa mifuko ya karatasi kwa jumla?

    Nawasalim kwa jina la jamhuri Wakuu nauliza wapi naweza kupata wateja wa hii mifuko ninategeneza na plani yangu ni kuongeza soko lake ili kujipatia kipato zaidi.
  11. E

    Naombeni ushauri fenesi vs miwa ya kufunga kwenye mifuko ipi inatoka kwa haraka

    Wakuu, naombeni ushauri tafadhari. Nahitaji ushauri kwenye hizi 'side hustle' Fenesi la kukata na kufunga kwenye makopo au miwa ya kufunga kwenye mifuko. Ipi inatoka kwa haraka. Asanteni sana Ni mimi muuza magimbi +viazi.
  12. Lagrange

    Garama ya kuanzisha kiwanda kidogo cha mifuko

    Habarini Wakuu. Naomba kujuzwa uchanganuzi mzima wa kuanzisha kiwanda kidogo cha mifuko hii ya 'twende sokoni ' au kwa jina jingine maarufu mifuko ya 'connection' Faida yake ,mashine zinazohitajika na mambo mengine mengine yote. . Asante.
  13. Damaso

    KWELI Kuchoma mifuko ya plastic na ndala kunaweza kumfukuza Nyoka ndani ya nyumba kwa muda mfupi ambao harufu itakuwepo

    Nimepata kusikia kuwa endapo nyoka akiingia ndani ya makazi ya mtu au nyumba basi njia bora zaidi ya kumtoa bila kumdhuru ni kuchoma kitu cha plastic kama mifuko au ndala na ile harufu inamfanya atoke ndani. Je ni kweli dhana hii? Je, ni kuchoma mifuko ya plastic au bidhaa iliyotengenezwa na...
  14. Ndagullachrles

    NHC K'NJARO YAIPIGA JEKI JK.NYERERE SEC MIFUKO 50 YA SARUJI UKARABATI WA SHULE

    NHC K'NJARO YAIPIGA JEKI JK.NYERERE SEC MIFUKO 50 UKARABATI WA SHULE 25 Julai 2024 Na Mwandishi Wetu,Moshi Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)mkoani Kilimanjaro limetoa msaada wa mifuko 50 ya simenti yenye thamani ya Tshs. 1,000,000/= kwa ajili ya ukarabati wa Shule ya Sekondari J.K Nyerere...
  15. W

    Wale mnaopenda kununua vitu used muwe makini sana, epuukeni zaidi kununua hizi bidhaa zinaweza kuwatia ndani ama kutoboka mifuko.

    1. Simu - Ni biashara iliyoshamiri sana kwenye vitu used lakini wengi zimewingiza kwenye matatizo, mtu kanunua simu laki 4 au zaidi haoni shida kutoa elf 50 polisi waifatilie, yani ukinunua simu iliyoibiwa ukipachika tu laini yako tayari ushadakwa kwa taarifa zako ulizosajilia laini na makadirio...
  16. Paspii0

    SoC04 Tanzania tuitakayo yenye huduma bora za Mifuko ya hifadhi ya jamii endelevu, na yenye maslahi kwa wafanyakazi!

    UTANGULIZI -Hifadhi ya mifuko ya jamii nchini Tanzania inajumuisha mifuko kadhaa ambayo inatoa huduma za kijamii na ya kifedha kwa wanachama wake. Mifuko hii inatoa huduma kama vile pensheni, bima ya afya, mikopo ya elimu na makazi, na msaada kwa wastaafu. Kusudi lao ni kuhakikisha usalama wa...
  17. and 300

    Maslahi ya Viongozi wa Mifuko ya Hifadhi (NSSF&PSSSF)

    Kwa yoyote anayejua maslahi ya Viongozi wa hii mifuko ya Hifadhi (NSSF na PSSSF) ikiwemo Mishahara, Marupurupu n.k. ukiacha upigaji kwenye miradi kikubwa ya ujenzi wanayowekeza.
  18. Winga dalali

    Nahitaji Viroba rejected/used

    Habari wana jamii forum Natumai mu wazima Tafadhali naomba kuuliza mwenye chimbo la mifuko ya 20kg /25kg kama ya azania/azam ambayo inakua rejected lakini mizima ambayo haijatoboka inawezakua imekosewa kua printed au kiwandani baada ya kuimalizia shughuli Mahitaji ni kuanzia 1000pcs -3000pcs...
  19. Stephano Mgendanyi

    Kijiji cha Kataryo Chaongeza Kasi ya Ujenzi wa Zahanati Yake: Mbunge Prof. Muhongo Achangia Saruji Mifuko 200

    KIJIJI CHA KATARYO CHAONGEZA KASI YA UJENZI WA ZAHANATI YAKE: MBUNGE AKICHANGIA SARUJI MIFUKO 200 Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni: Mayani na Tegeruka. Kijiji cha Kataryo hakina zahanati yake, kwa hiyo wakazi wake wanalazimika kusafiri umbali...
  20. and 300

    Mifuko ya pensheni na uwekezaji usio na tija!

    Hawa jamaa wanaamua tu wawekeze wapi ambapo Ni rahisi Kula usawa wa kamba. Ona Sasa Blue Pearl Hotel - Ubungo Chali na deni mabilioni (8.89b TZS). Watu wanaendelea ku-enjoy kama hakuna kilichotokea. Kikotoo ndo hicho. NB: Mjini mipango, deni la Watanganyika
Back
Top Bottom