Wizara ya Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, imetoa agizo hilo ikiwa ni siku moja tangu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kuitaka Serikali kuwawajibisha Waajiri wanaoshindwa kuwasilisha Michango pamoja na Mifuko kutolipa madeni ya Wanachama wake.
Wizara hiyo imeagiza Majina ya Waajiri wote...
NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE - SERIKALI IMEANZISHA MFUKO & PROGRAM KUWAWEZESHA KIUCHUMI WANAWAKE WASIOJIWEZA
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda Na Biashara Mhe Exaud Kigahe amesema Serikali imeanzisha mifuko na programu za uwezeshaji kwa lengo la kuwawezesha na kuwainua wananchi kiuchumi wakiwemo...
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa watoa huduma na ndugu wa wagonjwa katika mazingira ya hospitali (Upanga na Mloganzila) ikiwemo wodini na maeneo mbalimbali ya kutolea huduma.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo...
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa watoa huduma na ndugu wa wagonjwa katika mazingira ya hospitali (Upanga na Mloganzila) ikiwemo wodini na maeneo mbalimbali ya kutolea huduma.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo...
Habari zenu wana JamiiForums na Taifa kwa ujumla.
Kuna mambo kama nchi ni lazima yawekwe wazi kwa manufaa na ustawi wa wananchi. Moja ya mambo hayo ni hili la mafao kwa wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Binafsi nafurahishwa sana na mpango huo ila natatizwa pale ninapoona wanachama...
January Makamba alifanikiwa sana kuweka mikakati ya kupambana mifuko ya plastiki. Ile mieusi ya kubebea chipsi nk. Hongera kwake.
Mifuko hiyo imerudi tena kwa kasi kubwa na safari hii ni rangi ya buluu bahari. Hata Waziri Suleiman Jaffo anazijua. Tunakwama wapi vita ya mazingira?
Habari za muda huu,
Wadau na shida moja kwa anaejua kiwanda ama msambazaji mkubwa wa Mifuko hii ya kutunzia nafaka inayoitwa Kinga njaa anielekeze ni jinsi gani nitaipata hiyo Mifuko kwa bei nafuu na Mimi niiuze?
Ipo hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara zake anazofanya hivi karibuni, alifika Mkoani Simiyu na katika moja ya mikutano yake na Watumishi wa Umma kuna mambo mazito yalizungumzwa.
Katika Mkutano huo pia wadau wengine walikaribishwa ikiwemo viongozi wa dini na viongozi wa CCM...
Anonymous
Thread
ccm
mifuko
miili
mkoa
mwenyekiti
mwenyekiti wa ccm
rambo
salama
simiyu
tena
Hii mifuko yote iwe ya hiari tu na sio lazima sababu wote ni wezi; kujiunga ni rahisi lakini kutaka pesa zako ni mlolongo mrefu kama nini!
Mimi nilikuwa PSPF kabla haijajiita PSSSF, tukaambiwa sisi private twende NSSF, sasa nikasema hela yangu vipi inaenda kule au mnanipa? Hawataki eti mpaka...
Afya ya wananchi ndiyo kitu muhimu kuliko vyote. Shughuli zote za uchumi wa nchi zinategemea sana afya za wazalishaji kuwa na afya njema ya kimwili, kisaikolojia, kiakili na kiroho.
Hii mifuko ya bima za afya ambazo ndiyo tegemeo kuu kwa afya za wananchi zimekuwa zikisuasua kutokana na ukata...
Uongozi wa Kampuni ya uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa mbolea ya Minjingu Mines and Fertiliser Limited (MMFL) umefafanua kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwa Kampuni hiyo kuhusu upatikanaji wa mifuko 776 ya mchanga kwenye ghala lake lililopo mjini Njombe na kusema Kampuni hiyo haijawahi kufanya...
Mambo yasiwe mengi,
Nahitaji supplier mwenye mfuko ya kilo 25 na kilo 50 kwa bei ya jumla alete quotation yake na contact au physical address tufanye biashara.
Karibuni.
- Tanzania kuna mifuko ya hifazi ya Jamii miwili:-
1. NSSF ( huu nikwa wafanyakazi wa sekta binafsi na sekta zisizo rasmi )
2. PSSSF ( huu nikwa wafanyakazi walio ajiriwa na serikali pekee )
Mafao ni haki ya kila mwanachama wa mfuko, pindi anapo pata Janga la aina yoyote mfano uzee, kukosa...
Mwanateknolojia wa kibaolojia na mtayarishaji wa Filamu Hashem Al-Ghaili anatupeleka kwenye ziara isiyotulia lakini ya kuvutia ndani ya EctoLife - kituo cha kwanza cha uzazi wa mpango
EctoLife ni teknolojia itakayowapa wazazi wa siku za usoni njia mbadala inayodhaniwa kuwa salama zaidi ya...
Wadau habari za muda huu imetokea watanzania wengi tena wasomi kutokuwa na elimu ya kutosha ya fedha na yote hiyo ni kwa sababu atufundishwi darasani.
Sasa nilikuwa napitia kuhusu mfuko wa uwekezaji mpya ulionzisha unaitwa faida fund au watumishi Housing investment, je, hii faida yake ikoje au...
Wakuu nilikuwa bar napata kitu standard cha Serengeti Lager akaja muuza karanga na mifuko aliyonayo ni above 30 microns. Je, mbona ni migumu sana hii kampuni imechunguzwa kwamba inakubalika.
Dkt. Tulia Ackson ameihoji Serikali akitaka kujua nani anapaswa kuhakikisha michango ya mafao inayokatwa kwa wafanyakazi inapelekwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Pia ameitaka Mifuko kufatilia fedha kwa waajiri kwasababu sio wajibu wa mfanyakazi kujua michango imepelekewa au haijapelekwa...
RC MAKALLA: MSAKO WA MIFUKO YA PLASTIKI KUANZA JUMATATU YA AUGUST 29.
- Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Ameelekeza msako wa mifuko ya Plastiki ufanyike Mikoa yote.
- Awataka Viongozi wa Masoko yote kutoa tangazo la katazo la uuzaji wa Mifuko hiyo.
- Wenyeviti wa Masoko waahidi kushirikiana...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza operesheni ya kukamata mifuko ya plastic iliyokatazwa huku akiwataka wananchi kujiepusha na matumizi ya mifuko hiyo.
RC Makalla ametangaza operesheni hiyo leo Ijumaa Augusti 19, 2022 wakati wa kikao kazi na wazalishaji wa mifuko mbadala...
Waziri wa Fedha amesema kuna matato ya Serikali yanaingia kwenye mifuko binafsi ya watu badala ya kwenda Serikalini.
Amesema kuwa hali hiyo hutokea kwenye ukadiriaji wa kodi au uuzaji wa bidhaa, amesema unakuta mtu anamwambia mteja nikupe bei ya Kupata na risiti au bei ya bila risiti?
Unakuta...