1. Kutokuwepo kwa Ufuatiliaji wa miamala ya simu za mkononi isiyofanikiwa
Niligundua kuwa ufuatiliaji wa miamala ya simu za mkononi isiyofanikiwa haufanywi katika mfumo wa TTMS. Nilielezwa kuwa muundo wa TTMS haukuzingatia miamala hi sababu haipaswi kuwa na ada zaidi ya gharama za mtandao...
Mahakama zetu zinajaa ukiritimba ambao unachukuwa muda kuisha. Kuna ucheleweshaji mkubwa wa kesi za muhimu kitaifa kuanzia kesi za kisiasa, kesi za kodi, kesi za ufisadi ni mahakama ndiyo inachewesha maamuzi na kurudisha taifa nyuma.
Kuna kesi nyingi sana zinapelekwa na takuturu za rushwa...
Hizi aina mpya za drones ni muziki tofauti.
Ukrainian forces just destroyed two expensive Russian air defense systems using one of their new loitering attack drones according to a video released from the encounter.
The video was published by volunteer fighter Serhii Prytula according to...
Baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama wa Chama cha Wananchi CUF, Abdul Kambaya, na wanachama 384 kutangaza kujiunga na Chadema. Sasa wawasha moto.
Tarehe 23 Februari 2023, Kambaya na wenzake walitangaza kujivua uanachama CUF kwa madai kuwa chama hicho kimepoteza mwelekeo...
Tumefika hapa tulipo kwa sababu hatuna mifumo ya kuongoza nchi.
Inashangaza kuona anatokea mtu mmoja mjinga anavunja katiba ya nchi na bado anaendelea kuwa kiongozi.
Hatuwezi kupiga hatua kama Taifa liashindwa kuwa na mfumo sahihi.
Wasomi hakikisheni mnalikomboa Taifa kila kitu kinabi kuwa...
Askofu Bagonza wa KKKT Ngara amesema Ili tusirudi huko tulikotoka Mifumo na Taasisi Imara Ndio muhimu kuliko Super Woman au Super Mwamba
Bagonza amesema takwa la Katiba mpya ni la Jana wala siyo la Leo na kwamba Watawala wanaihitaji Katiba mpya kuliko Watawaliwa
Chanzo: Jambo TV
Nimehudhuria kliniki kwa ajili ya mwanangu kwa miaka miwili sasa sijawahi kukutana na elimu ya malezi ya aina yoyote ile kwenye hii kliniki, kinachofanyika ni kupima uzito mtoto au kuchomwa sindano ya chanjo kwa mtoto tena bila maelezo ya kwa nini mtoto apate chanjo wala umuhimu wake.
Sote...
Raia wa China Li Naiyong amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita likiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh221 milioni.
Naiyong amesomewa mashtaka yake leo, Februari 15, 2023 na...
Utaratibu mzima wa mipango ya elimu na utekelezaji wake kwa kiasi kikubwa unatia mashaka sana. Kwa muda mfupi nimeweza kuona mambo yafuatayo ambayo hayaridhishi na hayawezi kusukuma utekelezaji kwa kuhusisha wadau wote wa elimu. Mambo hayo ni pamoja na:
1. Viongozi kujikita zaidi kwenye...
TRA yatoa taarifa ya maboresho ya mifumo yake kuanzia feb 3 mpaka feb 5 2023.
=====
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kufanya maboresho ya Mifumo hiyo kuanzia Februari 3, 2023 Saa 12 kamili Jioni ili kuongeza ufanisi wa Huduma zinazotolewa
Huduma za Usajili wa Namba za Utambulisho...
Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango amesema manung’uniko hayo ya Wananchi yanaonesha changamoto nyingi zilizopo kuanzia ukamataji wa wahusika kujua hata haki zao pamoja na ucheleweshaji wa upelelezi.
Amesema “Nitoe mfano kuna kijana alikamatwa mwezi mmoja na nusu uliopita #Mwanza, wazazi wake...
Unaweza kujenga Imani Kwa wageni kuja kuwekeza nchini Kwa wingi; wageni wakafika Kwa wingi na kutumia fursa Ila usinufaike na kuwepo Kwa wageni hao.
Juhudi za Mhe. Rais zinaweza zisizaie matunda Kwa Sababu aliowaamini kwamba wanaweza kukusanya na kuhifadhi mapato yatokanayo na uwekezaji wa...
Habari wakuu JF!
Iko hivi;
Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayepinga kuwa katika awamu ya sita kumefanyika ujenzi wa shule, hospitali, zahanati, vituo vya afya miundombinu ya hali ya juu kuliko awamu zote.
Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayekataa kuwa awamu ya sita imeleta...
Habari wakuu, poleni na majukumu pia.
Kuna Uzi alileta mdau mmoja kulalamikia mfumo wa TRA kuwa ifikapo muda wa kufile return Huwa unasumbua na kuchukua muda mwingi kupokea (mfumo kupakia data) hivyo huleta usumbufu kwa watumiaji
Hivi pia nmeona makampuni kadhaa nitatolea mfano katika...
Tunashuhudia kwa nyakati hizi tulizo nazo watoto wa viongozi mbalimbali nao kuwa na kauli au nguvu za kufanya matendo ambayo sio halali ambayo hatimaye hupelekea kuleta aibu kwa wazazi wao kama tulivyoshuhudia hivi Majuzi kisa cha mtoto wa ndugu yetu Simbachawene, na hili sakata la mtoto wa...
Mifumo mingi sana ya KITEHAMA ya serikali ya TANZANIA ni majanga makubwa na inafanya kaz chini ya kiwango kabisa kuanzia mifumo ya malipo yan TRA ,mifumo ya malipo ya huduma , mifumo ya taarifa na maeneo mengi yanayo tumia mifumo ya kitehama ni tatizo sana sana
Nadhani kuna haja ya kuwa na...
Kyiv. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekiri rasmi nchi yake imepokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka serikali ya Marekani.
The National Advanced Surface to Air Missile System (NASAMS) is a medium-range, network-centric air defence system designed and developed jointly by Raytheon...
Ukraine wamedhihirisha uwezo wao wa kutumia kidogo walichopewa, vitu kama HIMARS wamevitumia vizuri na kupokeza adhabu, sasa wanapandishwa ngazi na kupewa madubwasha ya maana, kama haya hapa kazi yake kudungua ndege, mizinga, drones na chochote cha kupaa angani.
NASAMS are surface-to-air...
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA KUPANGA KIWANGO CHA KODI
Ndugu msomaji, karibu tujifunze kwa pamoja mambo ambayo ni muhimu kutazamwa wakati wa kupanga kodi kwa maana huwa zinaathiri maisha yetu ya kila siku. Ni dhahiri kuwa jambo la kodi linazungumzwa kwa namna nyingi, kugusa hisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.